Kumbe Lugola alichosaini ni Memorandum of Understanding (MOU) na sio Contract! Magufuli hajui kuwa MOU haina nguvu ya kisheria?

Nimekuwa natafakari sana. Hivi huyu Lugola katika umahili wake wa kuwa graduate wa sheria UDSM, kuwa naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais, na Waziri wa Mambo ya Ndani, atawezaje kufanya kosa la ku-sign Mkataba wa USD 453m bila kumhusisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Bunge, na pia Rais? Anawezaje kufanya kosa kama hilo?

Sasa, kwa kauli ya ofisi ya Rais Magufuli wenyewe, inaonekana alichosaini Lugola sio Contract, bali ni Memorandum of Understanding (MOU). Angalia hapa chini ofisi ya Rais Magufuli mwenyewe inachosema:

View attachment 1333010
Sasa Magufuli anaelewa kwamba hata kama Lugola amesaini MOU, hiyo haina nguvu ya kuibana Tanzania kisheria? Hiyo MOU Lugola anaweza kabisa kusaini kama makubaliano kwa ajili ya majadiliano kuelekea kusaini Contract, ambayo ni wazi kwa tunavyomtarajia Lugola, asingethubutu ku-sign bila kuzihusisha mamlaka za serikali, kutia ndani Mwanasheria Mkuu na hata Rais, na huenda hata Bunge.

Naona wazi kwamba kutumbuliwa kwa Lugola, kama ni kwa ajili ya kusaini MOU, itakuwa imetokana na tabia ya Rais Magufuli kutoomba ufafanuzi kwa watu wanaoelewa mambo au hata Lugola mwenyewe, na kufafanuliwa kwamba kilichasainiwa ni MOU tu, haina nguvu ya kisheria! Lakini Rais wangu huyu inawezekana kabisa alikimbilia kutumbua bila kujua tofauti ya kisheria kati ya MOU aliyosaini Lugola na Contract!

Je akijua hili, atakiri kufanya kosa, kumuomba msamaha Lugola na kumrudisha katika nafasi yake ya uwaziri? Itabidi Rais Magufuli awe mtu mnyenyekevu sana kufanya hili.
Kwa hiyo wewe unajua kuliko rais? Ni taarifa alizopewa na watu wa ndani sio kaamua kusema tu.
 
Kitu pekee ninachoamini na ndicho Mh.Rais alichokiona ni kwamba Kangi hakuimudu Wizara ya Mambo ya Ndani.

Alikuwa anarukaruka tu.Hata job description alikuwa hajui.Mara aingilie kazi za IJP kutumbua ma-RPC,Mara aingilie kazi za Amiri Jeshi Mkuu na Kumuamuru IGP asimame Paredi na Mbwa.
Yaani ilikuwa ni zaidi ya Comedian.

Binafsi nampongeza sana Rais kwa kumtumbua huyu bila kujali sababu alizotoa.
Nakuonga mkono mkuu ila rekebisha hapo IJP weka IGP
 
Kisichozungumzwa leo kitazungumzwa kesho...
 
Nilionya mapema...
Uongo hupanda lift bali ukweli hukwea ngazi... Mambo yameanza kuwa hadharani sasa

Jr
 
Mleta mada usicho elewa ni kwamba ndani ya MOU kuna vipengele vingine vinaukaba upande mmoja. Mathalani mmefikia hatua ya makubaliano ya awali lakini kabla ya kuingia kwenye mchakato rasmi upande mwingine(say Tz) ukajitoa kuendelea na mazungumzo huwa kuna penalt lazima ilipwe na upande uliojitoa.

Kwa muktadha huo, Kangi na jopo lake walioambatana naye hawakuwa halali kisheria kusign MOU pasipo kuhusisha mamlaka za juu yao ili kujiridhisha juu ya masrahi na uhalali wa hayo makubaliano.

Sasa cha kujadili hapa ni je, akina Lugola na wenzake did they seek the presindent's consent before signing?
Or whether the president agreed with the MOU terms ila kapenyezewa nyepesi nyepesi kwamba kangi na wenzake wamekula mlungula kufanikisha makubaliano?
Ikumbuke kuwa huko nyuma Lugola alishakuwa na kashfa ya kuomba rushwa akishirikiana na akina Sadiq Mollad tuhuma ambazo haikujulikana hukumu yake iliamuliwa vipi sasa sembuse kwenye deal la matrillions ya pesa!!!
 
mmh hapa wanasheria mtusaidiye,ikiwa kuna ukweli ktk uzi wako nasi tujifunze.lakini ni wazazi wachache sana huomba msamaha kwa watoto wanaowakosea
 
Kitu pekee ninachoamini na ndicho Mh.Rais alichokiona ni kwamba Kangi hakuimudu Wizara ya Mambo ya Ndani.

Alikuwa anarukaruka tu.Hata job description alikuwa hajui.Mara aingilie kazi za IJP kutumbua ma-RPC,Mara aingilie kazi za Amiri Jeshi Mkuu na Kumuamuru IGP asimame Paredi na Mbwa.
Yaani ilikuwa ni zaidi ya Comedian.

Binafsi nampongeza sana Rais kwa kumtumbua huyu bila kujali sababu alizotoa.
Alienda na mbwembwe
 
Kule kwenye nchi ya puerto rico,nchi ya asali na maziwa ambayo mabeberu huwa wanaionea sijui wivu,wananchi wake ni wajinga kuliko nchi zote za Afrika mashariki na huwa wanapigwa changa la macho wanapoteana!
 
Nimekuwa natafakari sana. Hivi huyu Lugola katika umahili wake wa kuwa graduate wa sheria UDSM, kuwa naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais, na Waziri wa Mambo ya Ndani, atawezaje kufanya kosa la ku-sign Mkataba wa USD 453m bila kumhusisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Bunge, na pia Rais? Anawezaje kufanya kosa kama hilo?

Sasa, kwa kauli ya ofisi ya Rais Magufuli wenyewe, inaonekana alichosaini Lugola sio Contract, bali ni Memorandum of Understanding (MOU). Angalia hapa chini ofisi ya Rais Magufuli mwenyewe inachosema:

View attachment 1333010
Sasa Magufuli anaelewa kwamba hata kama Lugola amesaini MOU, hiyo haina nguvu ya kuibana Tanzania kisheria? Hiyo MOU Lugola anaweza kabisa kusaini kama makubaliano kwa ajili ya majadiliano kuelekea kusaini Contract, ambayo ni wazi kwa tunavyomtarajia Lugola, asingethubutu ku-sign bila kuzihusisha mamlaka za serikali, kutia ndani Mwanasheria Mkuu na hata Rais, na huenda hata Bunge.

Naona wazi kwamba kutumbuliwa kwa Lugola, kama ni kwa ajili ya kusaini MOU, itakuwa imetokana na tabia ya Rais Magufuli kutoomba ufafanuzi kwa watu wanaoelewa mambo au hata Lugola mwenyewe, na kufafanuliwa kwamba kilichasainiwa ni MOU tu, haina nguvu ya kisheria! Lakini Rais wangu huyu inawezekana kabisa alikimbilia kutumbua bila kujua tofauti ya kisheria kati ya MOU aliyosaini Lugola na Contract!

Je akijua hili, atakiri kufanya kosa, kumuomba msamaha Lugola na kumrudisha katika nafasi yake ya uwaziri? Itabidi Rais Magufuli awe mtu mnyenyekevu sana kufanya hili.
Kama hujui kitu si unyamaze tu au utafute taarifa sahihi!
 
Mleta mada usicho elewa ni kwamba ndani ya MOU kuna vipengele vingine vinaukaba upande mmoja. Mathalani mmefikia hatua ya makubaliano ya awali lakini kabla ya kuingia kwenye mchakato rasmi upande mwingine(say Tz) ukajitoa kuendelea na mazungumzo huwa kuna penalt lazima ilipwe na upande uliojitoa.

Kwa muktadha huo, Kangi na jopo lake walioambatana naye hawakuwa halali kisheria kusign MOU pasipo kuhusisha mamlaka za juu yao ili kujiridhisha juu ya masrahi na uhalali wa hayo makubaliano.

Sasa cha kujadili hapa ni je, akina Lugola na wenzake did they seek the presindent's consent before signing?
Or whether the president agreed with the MOU terms ila kapenyezewa nyepesi nyepesi kwamba kangi na wenzake wamekula mlungula kufanikisha makubaliano?
Ikumbuke kuwa huko nyuma Lugola alishakuwa na kashfa ya kuomba rushwa akishirikiana na akina Sadiq Mollad tuhuma ambazo haikujulikana hukumu yake iliamuliwa vipi sasa sembuse kwenye deal la matrillions ya pesa!!!
Hata ile MoU haikustahili kusainiwa... Unakubali vipi kuenda kujadili kitu cha kipuuzi...
 
Mleta mada usichoelewa ndani ya MOU kuna terms zinaubana upande ule utakao violet makubaliano na hivyo kujikuta unalipa faini.

Hivyo cha kujadili hapa ni je, jopo lililo sign mou lilihusisha mamlaka za juu au?
Nacho jua pengine rais alihusishwa kila hatua ila kapenyezewa za mnyepe nyepe kwamba Lugola kamzunguka kapiga 10% kufikia makubaliano kama mlungula!!

Huko nyuma Lugola alihusishwa kwenye kashfa ya rushwa akishirikiana na wenzie akina Sadiq Mullad wakiibana wizara itoe chochote kwa kamati ya Bunge. Andengenye naye ni polisi, hakuna polisi ambaye siyo mpokea rushwa duniani pote!
 
Back
Top Bottom