Kumbe Lissu alishawahi kuinanga IMMMA Advocates bungeni, alidai ilitumika kuanzisha makampuni yaliyochota fedha za EPA

MKUU HEB UNGANISHA HAYA MATUKIO EPA+IMMMA KUMTETEA LISU MAHAKAMANI+LISU ANATUCHOMA KUHUSU NDEGE YETU KWA WAZUNGU+LISU KUSEMA TUTANYOLEWA BILA MAJI NA ACACIA+IMMMA WANAITETEA ACACIA MAHAKAMIANI DHIDI YA JMT
Subject ni kuwa umefanya kosa.
Kunyolewa kavukavu, kuwatonya wazungu n.k havipunguzi weight ya kosa lako. Sana sana utajifariji kipumbavu.
Ungekuwa mwerevu ungeenda mbali kimtazamo kuwa hii inaweza kuwa imetuepushia aibu huko mbeleni maana kama ingekamatwa ndege ya Rais tungeficha wapi sura zetu!
 
Matukio haya ndo yanamaanisha nini? chanzo cha serikali kukata tamaa vs Barrick/Acacia saga..?
 
Ayafanyayo lisu yote ni kwa ajili ya kujiongeza kipato katika kazi zake
Atasifia hiki kisha atakiponda
Usidhani anafanyia acacia au atafanyia chadema au wananchi wa ikungi bila maslahi hilo halipo
Na ndio hulka ya watu wengi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatetea ujinga

......

Nina akili zangu timamu na ninajua UJINGA,UPUMBAVU na UKWELI.Ukweli ni kitu inakuja kujichomoza baadaye.Hivi ikigundulika kwamba wahusika wakuu ni UVCCM,Serikali au Polisi unadhani serikali yetu itaonekana ina nguvu sana au itaonekana ni serikali pumbavu kabisa??

Kama wamekosea wapelekeni mahakamani hata Idd Amini pamoja na kuua bado alikuwa na haki ya kuishi,mwenye mamlaka ya kutoa uhai ni mmoja tu Mungu aliyetuumba wewe,mimi na yule,ALiyeumba dunia na Mbingu huyo ndiyo mwenye haki zote za kutoa uhai wa binadamu.Waliobaki wote mtahesabiwa kwa matendo yenu kama ni mema au maovu.

Imeandikwa usihukumu usijehukumiwa,serikali ilipaswa kupeleka kesi zote mahakamani zikafuata sheria na taratibu tusikurupuke tutaliingiza Taifa kwenye madeni yasiyo na sababu.

Kuwa mzalendo siyo kumuonea mnyonge au adui yako.Imeandikwa Mpende adui yako
 
Myonge mnyongeni haki yake apewe m nadhan lissu akiwa bungen alijarib kutilia mashaka juu ya uteuzi wa jaji huyo pamoja na madudu alofanya na kampuni yao ila leo leo anatukumbusha hata kama ina makosa ilipaswa kuwajibishwa na si kulipuliwa LISSU NA WENGER HAWAKAMATIKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuhuma hizo hazihalalishi ofisi zao kupigwa bomo.

Dawa ya deni kulipa sio kuchoma ofisi za wanasheria...

Ninyi ni katika wale watu wasijitegemea kimawazo. Hata mtoto mdogo anajua Lissu amechanganyikiwa. Jitihada zake zote za kumchonganisha Rais na wananchi zinamtenga yeye mwenyewe na jamii.

Nina uhakika hata ndani ya chama chake, hata wafuasi wake humu JF, wanamshangaa Lissu kwa jinsi anavyokurupuka na kujikanganya. Amejiondoa kutoka kwenye msomi mwenye staha na uvumilivu na kuwa mropokaji.

Mfano ni la kuungua kwa ofisi hizo za IMMMA, anawahamasisha mawakili wasuse!! Haingii akilini, kutoa hukumu kabla ya ushahidi, na wanasheria wanalijua hilo!
 
Tatizo lenu ndugu zangu wengi ni lile la kujiondoa ufahamu. Hata muuaji anastahili Wakili, mbona hamuelewi? sasa CCM ndio walisaini hiyo mikaytaba na wa makinikia leo mikataba inalindwa kisheria, you should use diplomacy instead of kujifanya mna dola, kesi inafunguliwa uingereza mnabaki ku bung'aa macho. Lissu kusikitishwa na kulipuliwa kwa IMMMA advocates ni sahihi na by the way yeye ni Rais wao.
 
Ninyi ni katika wale watu wasijitegemea kimawazo. Hata mtoto mdogo anajua Lissu amechanganyikiwa. Jitihada zake zote za kumchonganisha Rais na wananchi zinamtenga yeye mwenyewe na jamii.

Nina uhakika hata ndani ya chama chake, hata wafuasi wake humu JF, wanamshangaa Lissu kwa jinsi anavyokurupuka na kujikanganya. Amejiondoa kutoka kwenye msomi mwenye staha na uvumilivu na kuwa mropokaji.

Mfano ni la kuungua kwa ofisi hizo za IMMMA, anawahamasisha mawakili wasuse!! Haingii akilini, kutoa hukumu kabla ya ushahidi, na wanasheria wanalijua hilo!
Unahitaji akili ya Lissu kuweza kumwelewa Lissu!! Ukiwa na akili ya pogba wa tz utabaki kutapa tapa tu!!

BTW hata mimi naweza sema ccm wote including pogba mmechanganyikiwa...ivi inaingiaje akilini, yaani hao mnaowaita wezi mmewaleta nyie alafu leo mnajidai mnauchungu pumbbaaafu!!
 
Back
Top Bottom