Kumbe kweli wanawake chuma ulete wapo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Kuna demu nilikuwa na mfukuzia mda kidogo alikuwa ananizungusha saana. Lakini kwa bahati nzuri jana ile alinikubalia. Lakini kila nikifunga macho naona kabisa huyu ni chuma ulete

Mtu kanikubali jana tu. Lakini tayari amesha nilalamikia shida zake mara 3 Asubuhi kaniambia hana salio kwenye simu yake Nikampa pesa za kuweka salio.

Kufika mchana kaniambia anaumwa na hana pesa za kununua vidonge Nikampa pesa tena. Jioni hii kanitumia sms tariki 5 za mwezi huu ni Happy birthday yake Anaomba mchango wangu

Huyu ni chuma ulete kabisa. Na kibaya kwake sisikii si ambiliki
 
Wenda ameona umemsumbua sana sasa anataka akufukuze kwa namna hii

Kwahiyo hivi unavyo-react ndio yeye alikuwa anataka

Wenda pia ni tabia yake

All in all hamna kitu hapo umepigwa
 
Nawewe kesho omba sex, ngoma draw.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mmoja alokuwa x-wangu! Tukarudiana mtandaoni! Kanieleza siku hizi ninakazi (nimeajiliwa serikalini). Nikajisemea 'wooow!' nikijua hile mizinga kichefuchefu itakoma! Baada ya siku kadhaa mara 'naomba 20,000/= ya kuongezea saloon!

Nikakaushia akabwabwaja 'unajua hata mwanzoni tulikwaruzana hivi hivi kwa kutonitimizia haja zangu'! Nikakaushia alafu nikampa sound fulani ya busara akatulia!

Tukaendelea kuwasiliana! Baada ya siku mbili: naomba uniongezee 15,000/= naumwa! Nikakausha! Kuanzia hapo kaniblock kwenye account zoote!

Nia yangu ilikuwa kumpima na kujua ukweli wa ajira yake kama unaweza kuleta unafuu wa mizinga kichefuchefu ya viela vidogo vidogo!
 
Kuna mmoja alokuwa x-wangu! Tukarudiana mtandaoni! Kanieleza siku hizi ninakazi (nimeajiliwa serikalini). Nikajisemea 'wooow!' nikijua hile mizinga kichefuchefu itakoma...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Hutakiwi kaka, una ngoja nini kwake? Nipasie namba zake nione kweli au Una Msingizia binti wa Watu??Alafu nitaleta mrejesho!!
 
Ukiforce tu yamekuuwa mapenzi.

Nikikumbuka nilichati na manzi sms za kunyanduana usiku kisha nikaombwa hela ya kusuka nikamwambia ijia, akalazimisha nitume, nikalazimisha ijia ndio AKANIBWAGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…