Kumbe kutongoza ni kazi

Kizoda

Senior Member
Mar 5, 2022
130
296
Kumbe kutongoza ni kazi ngumu kiasi hiki

Mwenzenu nataka sasa niingie kwenye mahusiano baada ya kukaa sana kwenye mahusiano ya pesa yaani kupiga saana. Hawa malaya nimeona nitongoze Sasa ila nimekuja kugundua kutongoza ni kazi Kuna mtoto nampenda ila nimejaribu kutumia mbinu mbalimbali mtoto ana piga misuri tu.

Na maisha hayo Mimi sijazoea kabisa Kisa K tu nisumbuwe akili yangu naona kabisa nitarudi nilipokuwa ni wachiye wazee wa kukaza vitu vyao.
 
Namba yake unayo? Siku hizi tunapambana kupata namba ya mhusika tu ukishapata imeisha hiyo.
 

Kwan mapenzi, kutongoza kunahusiana vipi na wmwandiko!?
Kwamba Binti haelewi jamaa akituma text au??
Maana yake akishindwa kutongoza kwa kuongea basi atongoze kwa kuandika text au acharaze kwa kalamu, au aombe msaada wa kuanfikiwa kama hajui kupanga mistari 😂😂
 
Wakijua una hela we unaita tu unakula mzigo hayo mambo ya kusumbuana huo muda unautoa wapi weka mazingira sawa omba mechi hataki futa namba angalia mwingine.
 
Back
Top Bottom