Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,252
- 3,074
Habari wanajamii forum
Mimi naomba mnisaidie kunipa ujanja wa kumtongoza bubu maana nimekumbwa na kamtihani uko hivi.
Kuna demu flani namuona hapa kitaa ni mzuri balaaaa... source ya kumuona huyu demu hapa kitaa kuna nursery school huwa anakuja kuwachukua wadogo zake ifikapo mda wa kutoka japo sio kila siku huwa anakuja kuwachukua na kusepa nao.
Kimbembe kikaanza siku nilipomuona siunajua uroho wa paka asione vumba la samaki akili yote inahamia kwa mdomo. Nikawa natoa salamu mambo ila yeye akawa anajibu kwa mkono ile kitu poaa dule la gumba nikaona manjonjo tuu ya kisister duu.
Kuna siku moja nikapania nichukue number siunajua mambo ya globalization yanarahisisha ili ni muapproach nichukue mzigo yaliyonikuta kila nikimuongelesha kimya, mm nikisema yy kimya alafu anamatember yaani anahasira za karibu nikawa naona anazungumza kwa mikono mara anapindisha mikono mara akunje vidole sijui ndo lugha zao nikawa namuonesha mpaka simu sister naweza nikapata number yako lkn hata hanielewi mwisho akachukua wadogo zake nakuwapakiza kwenye gar akasepa.
Nikawa natoamacho tuu maana ningemzuia na matember yale ningechezea kibao cha haja nikawa najiuliza yule demu jeuri kwa vile wakisure au mzuri maana haelekei kuwa bubu bahati nzuri mchezo wote ulikuwa unaonekana kuna mwalimu wa ile nursery namjua akanita akanambia yule msichana ni bubu tena wala hasikii.
Nisaidieni mtu km huyu nitampata vipi maana nishazama kiaina aina maana najiuliza sijui nitembee na barua yangu nikimuona nimpe help me wajameni