kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Nimemuwish siku yake ya kuzaliwa nikamtania kama hivyo amekasirika hata sms hajibu tena.
Kwanini wanafanya hivyo?Watoto wa kinondoni wanaficha sana umri wao
Tatizo lako ni kuingilia privacy za watu.Nimemuwish siku yake ya kuzaliwa nikamtania kama hivyo amekasirika hata sms hajibu tena
Sina mpango naye ananitaka ila mimi sipo tayari namuhesabia kama rafiki tuMwanamke kumwambia hvy mwanaume n ishara kuwa unamtaka huyo mwanamume indirect, hapo jamaa angeendana na mapigo yako lazima ww ndo ungemzalia
Asante sana mkuuPole Sana mkuu
Nilikuwa namtania tu jamani, sasa anapaniki niniTatizo lako ni kuingilia privacy za watu.
Ni kweli nilikuwa namtania hata hivyokuoa hakuhusiani na umri.
Hataki aina hiyo ya utani.Nilikuwa namtania tu jamani, sasa anapaniki nini
Sema neno
Nimemuelewa ndiyo maana nimemuomba samahaniHataki aina hiyo ya utani.
Fanye akuoe. Tupo tayar kwa michangoNi kweli nilikuwa namtania hata hivyo
Dah! Nimekosea kweli, ngoja nimuombe msamaha tena best yanguKati ya Utani ambao wabongo wengi hawataki, Ni kuonekana umri umeenda na amechelewa katika jambo flani
Fanya humzalieNimemuelewa ndiyo maana nimemuomba samahani
Kwa sababu wanaliwaKwanini wanafanya hivyo?