Kumbe kuna wanawake waelewa jaman

Kanifurahisha huyu wa pili yan anasema yeye atajificha aangalie hiyo game ili ajue ni wapi anakoseaga daaaah is this posible kwel.....
huyu anaonekana ni mzuri sana kifikra. hataki kufanya makosa. anaamini akicheki gemu linavyokwenda atajifunza mautundu
 
Wanaume sasa. Akimegewa mke basi ndio mwisho wa stori.
 
Naamini kuna maamuzi yanafanyika kulingana na hali ya mda huo.
 
Duh! Ningeona comment ya mke wangu hapo angekoma, ningetafuta michepuko kama mi5 hv[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
nafikiri kwa sauti
-
Kuna kitu cha kujifunza hapo kwa sisi wanaume pia .[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…