Kumbe kuna wanawake waelewa jaman

pipikijiti

JF-Expert Member
Apr 25, 2017
309
406
Yan ukiwa na wanawake kama hawa raha tu
888c3e9c163aa782af23bafde84f2e47.jpg
 
Kanifurahisha huyu wa pili yan anasema yeye atajificha aangalie hiyo game ili ajue ni wapi anakoseaga daaaah is this posible kwel.....
huyu anaonekana ni mzuri sana kifikra. hataki kufanya makosa. anaamini akicheki gemu linavyokwenda atajifunza mautundu
 
Duh! Ningeona comment ya mke wangu hapo angekoma, ningetafuta michepuko kama mi5 hv

Jamii Forums mobile app
 
nafikiri kwa sauti
-
Kuna kitu cha kujifunza hapo kwa sisi wanaume pia .
 
Back
Top Bottom