feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 6,803
- 12,667
Jiwe ndo mbumbu kabisa anaua watu ili atawale.
Kwa hiyo hamuandamani tena? Mnatia aibu kwa kuliombea taifa mabaya.
Kwa hiyo hamuandamani tena? Mnatia aibu kwa kuliombea taifa mabaya.
Sema CHADEMA walipasw kuita press kama Zitto mapema kabla wabunge wasaliti hawajaenda na mtu akienda wamshughulikie. Sijui kwa nini CHADEMA wanakuwa wazito
Vyama tisa (9) vingine vya upinzani vipo vitapeleka wabunge wao Bungeni. Na kama viti maaluum vinatokana na idadi ya kura, basi watatokana na chama kinachofuatia idadi ya kura baada ya Chadema. Hata hivyo kumbuka kuwa kama hypothesis yangu inaweza kuwa sahihi, basi hata hao walio na hizo Trillion 2 watakuwa na details za kutosha, na hivyo watakuwa hawana hata chembe ya mpango wa kuzizuia. Dunia ni moja, na bedrock pia ni moja. Ukitikisa Marekani unakuwa umetikisa dunia nzima na kama ni uadui basi wewe uliyetikisa unakuwa umekuwa adui wa dunia nzima.CCM kuiba kura ili kufuta upinzani bungeni, wakati inahitaji wapinzani bungeni ili kupata uhalali wa bunge kimataifa ni ujanja mwingi, mbele kiza.
Nasikia mpaka Mbowe amepigiwa simu na sab ufa akimbembeleza apeleke majina ya viti maalumu..Ndio maana nashangaa kwanini nguvu kubwa inatumika kuwabembeleza viongozi wetu wa CHADEMA wakubali kuteua wabunge viti maalum
Watafukuzwa tuu kama yule Lijuakali...Kwa sababu ya njaa na uroho wa fedha kuna watu wataenda bungeni iwe kwa nguvu au hiari.
Note this comment.
Who cares. Kama ni kweli hilo la hizi hela, tuko tayari kujaza petition ili zisije tudhalilike vizuri.
Ukiachana na Lissu kumuahidi nini and blah blah turudi kwenye mada husika..Hivi wewe jamaa Lissu alikuahidi nini, mbona umeumia sana.
Unaimba tuNdugu yangu uko Tanzania ya wapi wewe bado unawaza misaada. Jiwe ameshaondoka huko. Tayari tuna viwanda viwili vya kuchengua dhahabu, mpaka sasa tunauza dhahabu safi siyo ghafi tena.Tuna dividend kila mwaka toka bariick, tumepata certificate ya bati yetu. Kifupi ni kwamba TANZANIA kwa sasa ni mafuta.
Maamuzi ni yenu, mkiamua kuua uaneni tu.Kwani waliowaua huko Pemba siyo binadamu? Wacha tumtoe tu kwa maana wanataka kupandikizwa kwa ngozi ya upinzani wakati ni ma-CCM!
Wapinzani mapindikizi hawawezi kukubalika na wahisani. Mtanyooka tu na viburi vyenu.
Mjinga wewe.Kwa hiyo hamuandamani tena? Mnatia aibu kwa kuliombea taifa mabaya.
Unaandika haya kwa nadharia tu au unajua asilimia zilizochukuliwa na vyama katika uchaguzi wa 2020?Vyama tisa (9) vingine vya upinzani vipo vitapeleka wabunge wao Bungeni. Na kama viti maaluum vinatokana na idadi ya kura, basi watatokana na chama kinachofuatia idadi ya kura baada ya Chadema. Hata hivyo kumbuka kuwa kama hypothesis yangu inaweza kuwa sahihi, basi hata hao walio na hizo Trillion 2 watakuwa na details za kutosha, na hivyo watakuwa hawana hata chembe ya mpango wa kuzizuia. Dunia ni moja, na bedrock pia ni moja. Ukitikisa Marekani unakuwa umetikisa dunia nzima na kama ni uadui basi wewe uliyetikisa unakuwa umekuwa adui wa dunia nzima.
Halafu kwa taarifa zaidi tu ni kwamba, kura huwa haiibiwi kwa margini kubwa namna hiyo. Ukiona watu wamekusanyika kwenye mkutanoi wa mgombea, inakadiriwa kuwa 20-30% ya hao ndiyo watakaompatia kura. Kwa hiyo wapiga kura wengi walikuwa majumbani. Still, hata kwa wale waliokuwa wanahudhuria mikutanoi ya hadhara, at lest 75% walikuwa upande ulioshinda, kama uliweza kuzifuatilia kampeni hizi
Jee ulikemea kuhusu mauaji na mambo mengine mabaya waliyofanyiwa wanna chi kwasababu ya ujinga wenu?Kwa hiyo hamuandamani tena? Mnatia aibu kwa kuliombea taifa mabaya.
Wewe ndo ujiulize uko wapi wakati Deni la Taifa Linaongezeka wakati hawakopi? #NakimbiaNdugu yangu uko Tanzania ya wapi wewe bado unawaza misaada. Jiwe ameshaondoka huko. Tayari tuna viwanda viwili vya kuchengua dhahabu, mpaka sasa tunauza dhahabu safi siyo ghafi tena.Tuna dividend kila mwaka toka bariick, tumepata certificate ya bati yetu. Kifupi ni kwamba TANZANIA kwa sasa ni mafuta.
Mh. Ndugai katangaza Bungeni jana kuwa kanuni za Bunge haziruhusu tena safari hii, uwepo wa Kambi Rasmi ya Upinzani, isipokuwa zinaruhusu uwepo wa Kambi ya Upinzani. Hii inatokana na margin ya kura zilizopatikana kutoka upinzani.Unaandika haya kwa nadharia tu au unajua asilimia zilizochukuliwa na vyama katika uchaguzi wa 2020?
Chama kilichopata kura nyingi baada ya CHADEMA ni chama gani? Na kina asilimia ngapi ya kura? Na asilimia zinazotakiwa ni ngapi?
Na kama CCM hawaihitaji CHADEMA, kwa nini wanailazimisha kuingia bungeni?
Hapakuwa na Uchaguzi hata kidogo !!! October 28 zilikuwa ni Kura za maoni ndani ya ccm kuwapata wabunge !Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa Twitter:
Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.
Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora
Mengi yanakuja CCM jiandaeni.