Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
486
Reaction score
2,069
Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
 
Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
CCM wanapiga ngapi?
 
Pesa ipo kijijini, mzunguko upo mjini chukua hii weka kwenye file utaitumia badae kwenye AI itakupa majibu
We upo wapi mkuu tuanzie hapo..
Mi natakaga mambo yasiwe mengi sipendi mtu ambaye anaongea bila kua na prove...

Nambie nina milioni moja hapa niende nayo.kijiji gani hipa tz na nipe mchanganuo wote

Nipo tayari kwenda hata sasa

Welcome
 
Back
Top Bottom