Kumbe kumsahau inawezekana

Kumbe kumsahau inawezekana

Comfucious pedagogy

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
211
Reaction score
39
Nilikuwa na girlfriend Wangu since 2009 ilipofika 2014 tukapata shida ya distance kwani nilitoka kusini hadi lake zone kwa hiyo akapata mchepuko na tukatofautiana nilipata shida mwanzo ila siku zimesogea nimepata mnyantuzu mmoja mamaaaa ebana wee nimemsahau kabisa yule.
 
unaomba ushauri au unatishirikisha na sisi tufurahi pamoja
 
Badala ya kuwazia ibada mnawazia ngono mungu amewasubiri kwa hamu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nilikuwa na girl friend Wang since2009 ilipofika2014 tukapata shida ya distance kwani nilitoka kusini had I lake zone kwa hiyo akapata mchepuko na tukatofautiana nilipata shida mwanzo ila siku zimesogea nimepata mnyantuzu mmoja mamaaaa ebana wee nimemsahau kabisa yule.

hii hadithi amekufundisha nani ?? inafundisha nini huku siyo Fb.
 
Mabasi madogo ya abiria. Kwa jina lingine yanaitwa daladala. Ila Musoma hamna daladala kuna daradara.
 
Ungekuwa umemsahau usingeandika hii..na pia haisaidii humu ndan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom