Kumbe Kikwete alijihusisha na Mambo Yaliyomjenga! Ndio Maana Tumepwaya...

Viongozi wote wa nchi hii waliopita walikuwa very competent ndani na nje ya nchi kiasi cha kutamaniwa na kuhitajika kuongoza jumuiya mbalimbali za kimataifa au kusuluhisha migogoro katika nchi nyingine ilikuwa hivyo kwa Nyerere, Mwingi, Mkapa na Kikwete; ni hapa tu ndio tumebugi. Lakini tuna nafasi ya kusahihisha October.
 
Magufuli anajitahidi sana kwenye diplomasia, ndio maana mara nyingi huwa anatuma wawakilishi.
 
Kuwa competed kuliisaidia nini hii nchi? Tanzania imetumia rasilimali muda na fedha kwa ajili ya mataifa mengine, ambayo hata hayatusaidii! Ni wakati wa kuijenga nchi yetu, kwani ukipata sifa za marehemu kama hizo au ukiongoza mashirika ya ukanda zinasaidia nini! Go magufuri go, tumechelewa sana kwa ajili ya wengine!
 
Ile CV na PhD ndani imetuingiza kushoto
 
Magufuli anajitahidi sana kwenye diplomasia, ndio maana mara nyingi huwa anatuma wawakilishi.
Sio tu amefeli vibaya kwenye diplomasia, bali imekuwa aibu, kwa mara ya kwanza Tz inaonekana undiplomatic,j wakati zamani sisi ndio tulikuwa tunawakusanya viongozi wa Africa na kuwapa somo. Mfano SADC karibu ingevunjika, EAC ipo mashakani sasa sijui haambiliki au ni kiburi gani, kweli ni hatari sana kuwa na mtu kama huyu afadhali tubadilishe mapema October.
 
Dah..nimecheka sana.....bado hampo siriaz
 
Kila mtu ana weak na strong points zake. Magufuli si mzuri kwenye internationalization lakini ni imara kwenye nationalism.
Nationalism ni muhimu katika kujenga uzalendo, uhuru na kujitegemea. Maendeleo ya kweli ya Tanzania yatasababishwa na watanzania wenyewe.

Viongozi wa nyuma waliofucus zaidi kwenye mambo ya nje walipwaya kwenye mambo ya ndani. Ni upuuzi kujudge uimara wa kiongozi kwa kuangalia profile yake ya nje. Raisi wa Tanzania anawajibika kwa watanzania tu.
 
Kuwa competed kuliisaidia nini hii nchi? Tanzania imetumia rasilimali muda na fedha kwa ajili ya mataifa mengine, ambayo hata hayatusaidii! Ni wakati wa kuijenga nchi yetu, kwani ukipata sifa za marehemu kama hizo au ukiongoza mashirika ya ukanda zinasaidia nini! Go magufuri go, tumechelewa sana kwa ajili ya wengine!
Kwani hao watawala walikuwa wa chama gani? Na huyu jiwe ni wa chama gani? Tuanzie hapo!
 
Back
Top Bottom