Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Sasa nimeamini kuwa Kikwete alichaguliwa na wanachama milioni 5 wa ccm.
CCM ina wanachama zaidi ya milioni 5 nchi nzima.
Hivyo nadiriki kusema kuwa wale wapigakura zaidi ya milioni 4 waliokosa majina yao ndiyo wanachama wa CHADEMA ambao kwa makusudi usalama wa taifa ulifuta majina yao kwenye orodha ya wapiga kura.
Mungu ibariki Tanzania wana CHADEMA tupate amani maana hapa tulipo inatuuma kitendo tulichofanyiwa na Usalama wa Taifa.