Kumbe kikwete alichaguliwa na wanaccm milioni 5

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,995
Likes
476
Points
180

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,995 476 180
Sasa nimeamini kuwa Kikwete alichaguliwa na wanachama milioni 5 wa ccm.
CCM ina wanachama zaidi ya milioni 5 nchi nzima.
Hivyo nadiriki kusema kuwa wale wapigakura zaidi ya milioni 4 waliokosa majina yao ndiyo wanachama wa CHADEMA ambao kwa makusudi usalama wa taifa ulifuta majina yao kwenye orodha ya wapiga kura.

Mungu ibariki Tanzania wana CHADEMA tupate amani maana hapa tulipo inatuuma kitendo tulichofanyiwa na Usalama wa Taifa.
 

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
7,695
Likes
177
Points
160

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
7,695 177 160
Nimeanza kuamini maneno ya mpiga kura mmoja ambaye nilimpigia simu aja kupiga kura siku ya jumapili 31.10. Aliniambia "Kaa la moto mie nimeamua kutopiga kura maana nina hakika ccm itaiiba" pamoja najitihada zangu za kumbembeleza aje apige kura sikufanikiwa.
Nimegundua wengi hawakupiga kura kwa kuwa walielewa hakutakuwa na mabadiliko na wakati hawampendi Kikwete. Wakaamua kulala nyumbani kupumzika weekend
 

Forum statistics

Threads 1,203,212
Members 456,663
Posts 28,104,828