Bin Kawambwa
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 480
- 358
Hahahaaaaaaaaaa! Umeonaaaaa! Njia ya muongo ni fupi! Umenikumbusha stori ya moja ya msela wangu mmoja Muhay!
Muhaya bana tukiwa chuo ana cousin wake yuko states akamtupia kasimu touch sikumbuki ni mdel gani! Basi tulihama mji! Sasa siku pande za Mcity kwenye shopping akamkuta Demu kisu cha hatari nae ana mashine kama ile ile yake! Daaaaaah! Akaborak kichizi! Akaona hataaa! Aende akamshobokee yule shori!
Kufika pale kwanza mashine kaishika mkononi! Demu kucheki mashine akawa kamsoma shalo tinatina. Basi ndo kuanza kuimbisha una simu kama yangu na nini, na kuchukua namba! (Hio simu ilikuwa ya bei ndefuuuu) Kuchat chat na nini ikakubaliwa Demu atamtreat jamaaa! Basi jamaa akajua fresh tu kawaida! Weeeeeeeeeeeee! Matusi yake alikoma!
Demu kaja na ki BMW kipyaaaa! Jamaa jasho lilimtoka almanusura kuzimia! Akapelekwa movie na nini, wakatoka demu akamtoa jamaa kama viwanja 5 vya maana usiku mzima! Anachop tu money! Hawazi! Jamaa kuja kurudi ikabidi aite jopo kutangaza kuwa ule Moto wa Makaaa ya mawe anajivua gamba na kujiweka pembeni! Akapampiwa asitishike na nyau! He is a disgrace to Haya mankind! Ukoo mukubwa ule! His ancestors would be offended!
Akaamua kuipa 1 more try! Na kutreat yeye! Sasa akaenda kuchukua Benz ya ze uncle! Kuiga kunya kwa tembo! Usiku ukaenda fresh tu, kimbembe saa ya kurudi! Kapigwa pasi ya maana na daladala! Kibenzi chunikaaaaaa! Asubuhi yuko garage kuullizia rangi! Weeeeeeee! Hio rangi ilichimbaje kwenye kiboom! Hana hamu! Na hakuwasiliana tenaaa na yule demu!
Uongo una nafasi kubwa sn unapomtaka demu. Ni kuchagua tu uongo gani uutumie kwa dem yupi, inakua very simple. Ukiwa na shaka kwamba uongo wako unaweza uka-fail, tumia kikamilifu sifa yako moja kubwa (unique) ulionayo na unayoiamini. Haiwezekani demu achomoke mbele ya mshkaji, labda demu ackupe nafac kbs kbs yakuongea nae.