Kumbe kauli mbiu ya mapenzi ni uongo!

Kumbe kauli mbiu ya mapenzi ni uongo!

lara 1 acha kabisa watu hawafai as far as Dar is concerned, yaani kuna jamaa aliuziwa nyumba ya mtu hapa mjini, akapewa hati ya kumiliki na kila kitu, hata yule ambaye nyumba yake iliuzwa hakujua, alikuja kushtuka baadaye watu wanakuja hapo kwake na kuanza kupigapiga rangi!

Approach nzuri ya kumkamata mtu, kwanza ni kumsoma haraka haraka uwezo wake wa kufikiria na kufanya maamuzi hata kama humjui; love, attraction, psychology na kumjengea mazingira ya good future vinahusika sana! Mara nyingi katika mazingira kama hayo wanawake wengi wanakuwa "baffled" so kuingia kingi ni nje nje.

Kuna jamaa mmoja alimpata binti, wakaanza mawasiliano, baada ya siku kadhaa binti akamwambia jamaa nataka kwenda mkoani, jamaa akamwambia kwa usafiri gani? Binti, kwa basi. Jamaa, what? Kama vile hajui watz tunasafiri kwa basi hata kwa miguu sometimes! Akamwambia achana na basi mambo ya miaka ya 47! Nipe account nikutumie pesa ukakate tiketi ya ndege! Binti, kweli? Jamaa akasisitiza ndio. Mara oh, sijui sina account nitumie kwa Mpesa! Jamaa, mambo ya mpesa mie siyajui, pls tukutane sehemu nikupe hela! Mkwara mzito, jamaa kukutana na binti, akampa midolari, binti return tiketi ikamhusu. Jamaa yeye anajiambia moyoni kafara kama hizi kwa watu kama hawa zinahusika, baadaye mbele ya safari tutajuana.

Unaona binti wa watu alivyopelekwa puta, ndege hajawahi kupanda anauliza atakataje tiketi, sasa kwa nini asimpigie jamaa makofi, full salute na respect!
 
TCleverly na lara 1, ila kuna zile cases za prof J "Ngoma inakuwa nzito wanapokutana matapeli".
 
Lie comes in many different unexpected puzzling aspects.
 
Lara 1x1000000000000000000
"Vox populi vox dei"
 
Hata ingekuwa wewe ungeingia mkenge. Kumkamata mtu mbishi kama wewe ni kumuundia "conspiracy".

Hahaha never worked ever. Sadly I smell such lies miles away, labda generation X. Alivyoimba Shania Twain: ' That dont Impress me much....' First line for ur type...
 
Thank you too. If i may ask thanks ya nini?

ooh okay,,,was in a hurry, but jana you made my day kwa story zako/experiences zako ulizoweka hapa and I was like..."unaona nacheka sasa" sema ndo nilikuwa na kamchina lol keep it up #teamlara1
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Prof taratibu!!!!!!!!!! Labda kuna kitu nimempa jioni hii kimemcomfuse hadi ananishukuru kwenye jithread hili! Na hilo nalo wataka ujue.

hahaaa umeona eeh...umesharahisisha kumjibu, mi ngoja niendelee kufukuza baridi
 
Hahaha never worked ever. Sadly I smell such lies miles away, labda generation X. Alivyoimba Shania Twain: ' That dont Impress me much....' First line for ur type...

Wewe mtoto acha ubishi, kabla mwaka huu haujaisha utakuja na lithread hapa jamani msaada "............................"!

Ukijifanya unasmell miles away utamfukuza hata yule ambaye ni mkweli.
 
Wewe mtoto acha ubishi, kabla mwaka huu haujaisha utakuja na lithread hapa jamani msaada "............................"!

Ukijifanya unasmell miles away utamfukuza hata yule ambaye ni mkweli.

Nitamfukuza kama wewe eti?
 
Back
Top Bottom