Kumbe Kanye West ni Shemeji !!!??

Odemba alivuma sana enzi zake!
miiiiiiiiii.jpg

dah kweli dada ode kazeeka!
 
Mbona kwenye hii picha kanye haonekani kuwa hata na muda na odemba,yaani ni kama ametokea kwa bahati mbaya.

Odemba anaokana yupo kwenye queue ya kusubiria kupata taswira mnato ndio maana anajichekesha tu kweli usuper star kazi
 
jamani napenda black guys! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hata awe na nini mzungu ni big NO kwangu, yaani ikiwezekana awe mweusiiiii tiiiiii kama mume wa kimora lee! yaani nadhani ningekewa sudan kungenifaa sana,!
 
Back
Top Bottom