Ujanielewa bado Allah katuza Quran kitabu cha mwisho.Kwa hiyo unataka kusema Allah ni dhaifu kashindwa kutunza vitabu vyake?
Nimekupiga king'eng'e wewe mgalatia gani lugha haipandi au ulikimbia umandeAllah is not the Creator God, but the devil. That is why his followers love to shed blood like Samuya.
Kwa maana yake kule kwenye majukwaa ya kidhungu unaweza kuwa unandika kimatumbi, halafu inabadilisha unaenda nao sambamba, walitukwaza sana na kujifanya wanajua lughaHiyo ni selection ya lugha, waweza weka kiswahili mkubwa.
Pamoja mkuu, ngoja nichukue kibuyu na usinga maana mida ya ku surprise hii.Kwa maana yake kule kwenye majukwaa ya kidhungu unaweza kuwa unandika kimatumbi, halafu inabadilisha unaenda nao sambamba, walitukwaza sana na kujifanya wanajua lugha
Hapo teeth upo kitengo ganiMaana yake unaishi ngambo, AI inajaribu kurahishisha mambo kwa wanaorumia kuwaweka by default kama ni wageni hivyo AI kuja na lugha ya kigeni.
Ng'ambo wapi tena huko unamaanisha huku namtumboMaana yake unaishi ngambo, AI inajaribu kurahishisha mambo kwa wanaorumia kuwaweka by default kama ni wageni hivyo AI kuja na lugha ya kigeni.
Ahaa, nimegundua kumbe ni vpnMaana yake unaishi ngambo, AI inajaribu kurahishisha mambo kwa wanaorumia kuwaweka by default kama ni wageni hivyo AI kuja na lugha ya kigeni.
Hapo teeth upo kitengo gani
Umesahau ccAiseeee
Umesahau cc