Kumbe ITV ni hata Mwanza?

Mkuu hilo nalijua mno... Sikutaka kuitaja Azam two kwa7bu ni wachache sana wenye uwezo wa kumiliki ungo wa Azam. Tunasememea Chanel ambazo ni rahis kuzipata bila gharama... Kwa sasa ITV pekee
 
ndio tabia ya soko mkuu, rejea vee money vs jay dee kwenye EATV Awards uniliver products vs new products
 
na madishi ya futi 6 mkuu. mzee Mengi hana choyo Capital, Itv na Eatv amejaa. tukiona wanaolizwa na bando za mwezi sisi wa madishi kimyaaa. tatizo tv na wengineo lazima uwe na ving'amuzi vyao.
 
Nani kakudanganya kuwa ITV ndio kituo cha kwanza bongo?
 

Nakubaliano nawe mkuu, watu wanafuata mkumbo zaidi hasa wa kukaririshwa!!! Azam two inakuja juu zaidi ila wanachokosea ni kutokubali Azam two kuwa multiplexed kwenye Systems za StarTimes as a local channel - kwani wakifanya hivyo watapoteza nini? Labda wanaogopa kupoteza Revenue za matangazo, kama ni hivyo hapo ndiyo wanapo Kosea, Azam two wangejiunga na StarTimes wangejulikana zaidi, watu wanacho taka ni kuwa free kuangalia channels zote local bila ya kulazimika kubadirisha vingamzi i.e bila ya kujali kampuni gani inatoa contents - sasa Azam inataka iwe peke yake bila ya kushirikiana na cotents providers wengine kwa nini?

Kwani sheria za TCRA zinasema nini kuhusu usambazaji matangazo ya Local Channels au ma multiplexers hawaruhisiwi kupatisha local channel zao kwa Multiplexor wenzao au?
 
USHAMBA NI MZIGO SANA
Mtoa post na hisi ulipotoka kijijini kwenu ukaenda dar.sasa imegeuka shida maana kuna wakina nyie mkiwa dar mnakuwa mnadharau wa mikoani. Wakati watu waishio hata asilimia 10%ya total population haifiki.
Nije katika hoja ya msingi ambayo inaonyesha ushamba wako ulipo kushangaa eti mwanza watu wana angalia ITV kuliko star TV ambayo ipo jijini mwanza. Watu wana penda sana ITV hasa kwenye suala la habari kwa maana wana balance habari kwa pande zote sio zile TV ambazo zinaonyesha mzuri tu watu flani..lakini ITV hai bagui kila mtu anaonekana pale.ndio maana ITV ina kuwa super brand umeelewa.star TV ndio ilisha poteza uelekeo muda sana.maana watangaziji wazuri walisha sepa katika TV nyingine kama wakina fredwa, muksin nk .ubora wa watangazaji ndio kivutio kikubwa .hebu angalia watu kama akina spensa lameki,Sam mahela nk .sasa sio kujigiiza.kwani watu wa mikoani hawa jui vitu vizr?
Pili angalia coverage ya ITV kila wilaya ina mtu wa kuripoti ndio maana unakuta inavutia sana kwa big coverage na nje ya nchi.
Pia ubora wa picha ITV iko poa sana
Kingine ni ukongwe ITV ni ya zamani sana.hivyo ina mashabiki wengi.
Mbali na hapo haina mlengo wa kisiasa hata kidogo wote watawala na wapinzani hupewa nafasi.
-ubora wa vipindi kama dk45,malumbano ya hoja,kipima joto ,nk
Japo star nao wana kipindi bomba kama dira ya dunia kiko poa sana chini ya salum kikeke japo ni cha kujiunga lkn kina wang'alisha sana .HATUANGALII TV KWA MAHALI ILIPO TUNA FUATA UBORA NA SIO VINGINEVYO.
 
Mkuu hilo nalijua mno... Sikutaka kuitaja Azam two kwa7bu ni wachache sana wenye uwezo wa kumiliki ungo wa Azam. Tunasememea Chanel ambazo ni rahis kuzipata bila gharama... Kwa sasa ITV pekee
Hata wenye visimbuzi vya Dstv, Azam, continental ikifika saa 2 usiku wateja vijana kwa wazee wanalazimisha wawekewe ITV waangalie taarifa ya habari
 
T
Nembo ya star tv ni kijani na njano tu
 
Mbona ka-TV ketu ka Taifa hamkataji kwenye huu uzi acheni kukatenga katazidi kuwa yatima.
 
Hata ukienda Zanzibar, hvyo hvyo ni ITV tu kwa kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…