Kumbe India kama Bongo!

Kumbe India kama Bongo!

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
It-Happens-Only-in-India.jpg
 
Hii ndo tabia itanigeuza mhuni siku moja yaani bila ilani nivuke ndani ya ivo vijisanduku vyao nichinjechinje mtu mimi! Nina allergy ya kupiga foleni, hii tabia naichukia sana huwa inanigeuza wazimu nikijipata hapo bila shaka lazima niliamshe dude pap! Yes, am that guy.
 
Ha ha ha kwahiyo kwenye foleni kama zile za TRA huwa unafanyaje? Au huwa unapiga anti-queue kibabe?
 
Ha ha ha kwahiyo kwenye foleni kama zile za TRA huwa unafanyaje? Au huwa unapiga anti-queue kibabe?
Ha ha ha kwahiyo kwenye foleni kama zile za TRA huwa unafanyaje? Au huwa unapiga anti-queue kibabe?
Hiyo hapa Kenya itakuwa ni KRA, zamani ilikuwa ni lazima ufike hadi HQ zao pale Times tower, Nairobi, kwa hivo foleni kawaida yake zilikuwa ni ndefu. Siku moja nimefika hapo foleni hadi nje ya geti na ni siku ya mwisho. Nilichapa hatua kubwa kubwa nikiwa nimejiamini moja kwa moja hadi kwa teller akaniambia kijana foleni haianzi mbele ikienda nyuma. Nikamuambia huyo mzee mwenye koti nyekundu uliyetoka kumhudumia, nilikuwa mbele yake akanituma dukani nimletee painkiller na maji ya kunywa, nimechelewa kidogo. Jamaa alinichapa kijicho lakini hakuwa na budi ila kunihudumia.
 
Back
Top Bottom