kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,694
- 2,132
Kumbe inawezekana kuendesha nchi bila Baraza la mawaziri. Ni kitambo sasa tangia professor Muhongo kutumbuliwa kama waziri wa nishati na madini, lakini mambo yanaenda sawia kabisa na hata usumbufu wa kukatika kwa umeme mara kwa mara, kumepungua mno.
Lakini pia wakuu wa mikoa ya Dar es salam na Arusha, wameonyesha wakuu wa mikoa wanaweza ku cover kazi za mawaziri.
Kwa mfano daresalam chochote utakacho fanya hata kama wewe ni waziri, kama hujaenda sawa na RC, haitafaanikiwa, mfano mmoja wapo ni Lukuvi na suala la hekali 1500 za huko Kigamboni. Kumbe tunaweza kuwa na serekali bila mawaziri. Makatibu wakuu na wakuu wa mikoa wanatosha.