Kumbe IGP Mstaafu Simon Sirro ni mwanachama wa CCM

Kumbe IGP Mstaafu Simon Sirro ni mwanachama wa CCM

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,137
Reaction score
9,688
Ndio nimejua leo wakuu..
0587f3fa-94eb-45c1-8aa3-51bc952c2757.jpeg
 
Mkuu wa Mkoa/Wilaya huwa ni wanachama wa Chama cha Mapinduzi

Ndiyo makamisaa wa Chama pindi kunapofanyika vikao vya kamati za Siasa za Mkoa/Wilaya
 
CCM sio chama Cha siasa CCM ni dola siku dola ikichoka ndio CCM itaondoka

Wakuu wote wa TISS,JWTZ,IGP,JKT WOTE ni watu wa dola wanaitumikia dola

Siku wanachi, wanajeshi, TISS na police wadogo wataacha kutumiwa na wakubwa zao na kuamua kukinukisha ndio utakuwa mwisho wa chama dola maana watu wa chini wanatumika bila kujuwa wanatumika kwa mabwana zao waliopo juu kuneemeka
 
Mkuu wa mkoa huteuliwa na Rais, Rais hutokana na chama cha kisiasa. Hivyo mkuu wa mkoa huyo lazima ajikute mwanachama wa upande wa uteuzi.
 
Kumbe ndiyo maana maRpc wanatoaga order ya vichapo kwa Chadema hata kama wana sherehe majumbani kwao. mapolisi wote ni ccm
 
Back
Top Bottom