Kumbe huyu ndio Pangolin.

mimi nahisi ipo haja ya kumpelekea karatasi ya serekali mbili na tatu ili atutabirie
 
kila kitu ambacho kinapatikana kwa uchache eti ni dawa mara ya kansa mara ya utajiri mara ya mapenzi....... da watanganyika tubadilike jamani katka hili na ndo sababu hata albino walitafutwa kuliko pesa zenyewe..huyo ni mnyama kama wengine mambo ya matibabu hizo ni imani tu za watu
 

Ni kweli imani maana wachina wanatibia saratani na waingereza walitumia kutengenezea koti la mfalme wao kujihami kivita (armour) mwaka 1820
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…