ulitaka weka picha hii??
Transpoter tupunguzie bana, lasivyo mie najitoa, sema hata pembeni kwenye vibegi vya nguo ama magari basi. nazuia shilingi.
wa huku kwetu kazi ni kufuga vitambi tuuu
hehe hes playing with secret service, hao machalii wanacheza hapo bt mifukoni wana vyamoto humo