Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,587 Reaction score 81,557 May 19, 2021 #2 Historia ni muhimu kwaajili ya baadae, mfano historia aliyotuachia mwendazake ni muhimu kukumbukwa ili siku za baadae tusifanye makosa tena.
Historia ni muhimu kwaajili ya baadae, mfano historia aliyotuachia mwendazake ni muhimu kukumbukwa ili siku za baadae tusifanye makosa tena.
comte JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,834 May 19, 2021 Thread starter #3 Chaliifrancisco said: Historia ni muhimu kwaajili ya baadae, mfano historia aliyotuachia mwendazake ni muhimu kukumbukwa ili siku za baadae tusifanye makosa tena. Click to expand... Kweli mkuu umesahau lile la watanzania kukataa kumchagua mkimbizi wa Ubelgiji kwenye uchaguzi wa 2020.
Chaliifrancisco said: Historia ni muhimu kwaajili ya baadae, mfano historia aliyotuachia mwendazake ni muhimu kukumbukwa ili siku za baadae tusifanye makosa tena. Click to expand... Kweli mkuu umesahau lile la watanzania kukataa kumchagua mkimbizi wa Ubelgiji kwenye uchaguzi wa 2020.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,676 Reaction score 97,455 May 19, 2021 #4 Mambo ya uwimbombo na ulindi ya nini?
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,573 May 19, 2021 #5 Chaliifrancisco said: Historia ni muhimu kwaajili ya baadae, mfano historia aliyotuachia mwendazake ni muhimu kukumbukwa ili siku za baadae tusifanye makosa tena. Click to expand... kila sehemu unahisi mwendazake yupo. akili zako zinataka umsahau,ila mattako yako yanatikisika kukumbusha huwezi msahau. yess,ndio maama tunasema hawezi sahaulika.ila mnapenda ubishi tu.
Chaliifrancisco said: Historia ni muhimu kwaajili ya baadae, mfano historia aliyotuachia mwendazake ni muhimu kukumbukwa ili siku za baadae tusifanye makosa tena. Click to expand... kila sehemu unahisi mwendazake yupo. akili zako zinataka umsahau,ila mattako yako yanatikisika kukumbusha huwezi msahau. yess,ndio maama tunasema hawezi sahaulika.ila mnapenda ubishi tu.
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,587 Reaction score 81,557 May 19, 2021 #6 mkorinto said: kila sehemu unahisi mwendazake yupo. akili zako zinataka umsahau,ila mattako yako yanatikisika kukumbusha huwezi msahau. yess,ndio maama tunasema hawezi sahaulika.ila mnapenda ubishi tu. Click to expand... Kufa mfate
mkorinto said: kila sehemu unahisi mwendazake yupo. akili zako zinataka umsahau,ila mattako yako yanatikisika kukumbusha huwezi msahau. yess,ndio maama tunasema hawezi sahaulika.ila mnapenda ubishi tu. Click to expand... Kufa mfate
Karao JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 1,057 Reaction score 603 May 19, 2021 #7 Bila historia hakuna maendeleo
Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,398 Reaction score 17,791 May 19, 2021 #8 Hamna haja ya kufundishwa mashuleni. Historia za kina Chief Mangungo na Kinjikitile za nini kwa sasa? Ziandikwe na kusomwa kwenye vitabu ila sio kufundishwa mashuleni mnawaongezea vijaba wetu mizigo.
Hamna haja ya kufundishwa mashuleni. Historia za kina Chief Mangungo na Kinjikitile za nini kwa sasa? Ziandikwe na kusomwa kwenye vitabu ila sio kufundishwa mashuleni mnawaongezea vijaba wetu mizigo.