habarini ndugu zangu wanajf.kuna msichana mmoja kaharibu siku yangu Leo baada ya kumtumia text kuwa nampenda..uyu msichana ni mzuri ile mbaya na nilifanikiwa kuzoeananae sana na nilifanya vitu kibao nimwonyeshe nampenda ka kumpa zawadi Na mara nyingi kuchatinae ila leo bada ya kuingizia iyo mada akanijibu "am an older dan you"..aaah nkaona ilo swali rahisi tu yani nkajibu "age does not matter"..apo ndo ikaanza mada nyingine yani anauliza maswali kama anahisi nataka nimchezee tu na hili swali limenifanya nimute kwanza.."kipi unachotaka unidanganye nisichojua Mimi??haijawai tokea nimekosa swaga kama Leo...na uyo msichana kanizidi miaka miwili tu....msaada jamani apo au ushauri kwangu. ...ntawashukuru