Tafuta daza za wamasai
Wanawake mwalimu wao kipofu,sasa we inakuaje umekwama.
we jamaa una miaka mingapi?? mana naweza nikakujudge kumbe sio kosa lako....
mi nina shida kweli
Huyo hautaki tu,anatafuta sababu hooligan01
Mkuu kikweli kwa mawazo yako nimekuweka sehemu sahihi.
Sema lakini unatongoza kidada sana.
we unataka nitongozaje ww
Wewe unadhani kuja kulalamika hapa jf itasaidia?
bora angenambia ukwel tu
daaaah umechanganya mwanzo sasa hivi umeamua kukoroga kabisa sawa umeshinda mkuu
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ......
mkuu we ni mjanja balaaa..
sasa kwa utafiti unamtaka nani?
miss neddy ama Honey Faith?
Mmmmmhh kiwatengu hapa sijakuelewa kabisaaaaa unamaanisha nini , hebu rudi tena tafadhwali
mkuu ngoja nije PM kuna jambo nataka kukushirikisha...
mkuu Tee Bag..
tuyaache mambo yawe yalivyo..