Kumbe hili swali gumu

Kumbe hili swali gumu

sasa hilo ndio la kutuomba ushauri? unakwama wapi wakati kote lami? nipe namba yake mimi nikuwekee sawa, maana papuchi za hivyo mpaka unadinya zinabaki zinashangaa tu. pia jaribu kubadilisha formular, tumia MAGAZIJUTO, usitumie tafuta X au pai.
 
inamaana yeye anaingia form 4 na wewe form 2?

simple mnunulie kitabu cha hesabu cha nyambari nyangwine.
lazma aone kuwa uko serious na unapenda shule.
akiendelea kukataa msemelee kwa mwalimu, coz ushahidi utakuwa nao.

Ha haha hahaha !!!!!!"!
 
Alivyokujibu tu inamaanisha ni mtoto sana....jinsi alivyoandika "dan" .....yaan kipimo cha mtu anayejitambua ni hata uandishi wake wa lugha...
 
habarini ndugu zangu wanajf.kuna msichana mmoja kaharibu siku yangu Leo baada ya kumtumia text kuwa nampenda..uyu msichana ni mzuri ile mbaya na nilifanikiwa kuzoeananae sana na nilifanya vitu kibao nimwonyeshe nampenda ka kumpa zawadi Na mara nyingi kuchatinae ila leo bada ya kuingizia iyo mada akanijibu "am an older dan you"..aaah nkaona ilo swali rahisi tu yani nkajibu "age does not matter"..apo ndo ikaanza mada nyingine yani anauliza maswali kama anahisi nataka nimchezee tu na hili swali limenifanya nimute kwanza.."kipi unachotaka unidanganye nisichojua Mimi??haijawai tokea nimekosa swaga kama Leo...na uyo msichana kanizidi miaka miwili tu....msaada jamani apo au ushauri kwangu. ...ntawashukuru

Mbona swali la kawaida sana mkuu? Si umwambie humdanganyi? Kama ni kweli lakini. Maana usije kuwa una nia ya kupita tu
 
Dah inasikitisha sana,tena sana..sippin my coffee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom