Kumbe hawa ndiyo ‘mabeberu’

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,747
Nkuu ya msemaji wa serikali

Akaulizwa beberu ni nani? Akajibu: "Beberu hana rangi wala utaifa, beberu ni mtu, taasisi au taifa lolote ambalo tukiwa hatuna hospitali, barabara, madaraja, ndege na vingine muhimu kwa maendeleo wanatubeza; tukianza kuvijenga na kuvifanyia kazi wananuna na kujaribu kuhujumu na kuvibeza bila hoja; mtu wa namna hii awe Mtanzania au si Mtanzania ni beberu tu," alisema.

Nadhani uwelewa kwa wasioelewa umewleweka
 
Beberu ni "dume" la mbuzi
Hiii !!!?
giphy.gif
 
Na wewe ni miongoni mwa beberu
Hapana..... Mimi ni miongoni mwa watz wanaotaka kumuondoa madarani beberu halisi ccm waliokaa madarakani zaidi ya miaka 50 wakinyonya na kuuza raslimali zetu zote kwa wazungu .....

Hawa mabeberu ccm wanaikalia Zanzibar kwa mabavu na kuinyonya mapato yake
 
Back
Top Bottom