Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja
hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.
Juzi nilikuwa na babu nyumbani kwake huko kijijini, baada ya kula mbuzi wake nilimpa muda mwingi wa kukaa nami na kupiga stori lakini kikubwa aliniulizia habari za kuoa mambo mengine kama hayo. Alinishangaa umri wote huu silipi nafasi nafasi kubwa swala hilo!!!!!
Akaanza kusema au unatumia nzi? nami nikamwambia nzi! akasema eh maana sisi zamani kumpata msichana halikuwa jambo jepesi,alisema wasichana walikuwa ni wagumu sana analindwa na familia yake, ukoo mpaka kijiji kizima. Kupata nafasi hata ya kuzungumza naye si kitu rahisi hata ukiongea naye kukubalia ilikuwa si jambo jepesi hata kidogo! Waganga nao walikuwepo unaenda kuomba dawa ya kutongoza anakupa mzizi uweke chini ya ulimi unapoenda ku-seduce binti! lakini zilikua za uongo tu!
Kifupi anasema wao mwanzoni ulikuwa unamvizia binti unaye mpenda akitoka kukojoa kabla mkojo haujakauka kwenye kisima kilicho chimbwa na mkojo wake unado pale unamaliza! kisima ilikuwa mara nyingi lazima kijichimbe maana mabinti wa wakati huo walikuwa mabikira (small area(tundu dogo) pressure inakuwa kubwa)
Lakini baadae wakamodify wakawa wanachukua nzi kazaa wanawaweka kwenye kimfuko cha plastic(kama kentozi) sehemu ya mdomo wa ule mfuko wanafunga kwenye kichwa cha jamaa yetu yule kadri nzi wanavyo jaribu kuruka wanatekenya mambo huku mtu anaweka feeling kwa mrembo yeyote anamaliza! ila hii njia naona kama haina madhara kabisa kama ilivyo kwa sabuni na mafuta!