Kumbe hata wewe ni............

prospa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
554
Reaction score
157
jamaa alikuwa akikatiza porini mara mbele yake akatokea simba ilikuwa ghafla halafu jirani sana na yeye jamaa kuona vile akajua hata akikimbia hawezi kushindana na yule simba,

jamaa akapiga magoti akaanza kuomba mungu amsaidie alipofumbua macho akashangaa akamwona yule mnyama nae kafumba macho anaomba, jamaa akamuuliza heeeee kumbe hata wewe ni mkristo? Simba akajibu kaa kimya huko ''hivi wewe huombagi kabla ya kula ???????????
 
tehe tehe tehe yakheee hii imetulia yakhee yani ungekuwa Mwanza tungekuruhusu uchinje Ng'ombe bila kujali dini yako
 
hahaha umeona eeeeeeeeeee
 
Kwa kuwasaidieni siku nyingine kama unapita porini we beba muwa tu hakuna mnyama hata m1atakaye kufuata,hasa simba. Ukikutana na simba ghafla na umebeba muwa wako hapo cha kufanya we menya muwa wako kwa kutumia meno kwa haraka simba atashangaa huyu binadamu c wakawaida, anachanachana magogo kwa meno! Hapo lazima asepe
 

tehe tehe tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…