GEE2PATEL
Senior Member
- Oct 24, 2018
- 139
- 293
Niliwai kusoma uzi hapa wa jinsi ya kujiliwaza unapokuwa kwenye ndege, nimeona na Bbc swahili leo wameiandika, idea hii wameipata hapa, kuna uzi ngoja niusake nitauweka,
Nimeupata huu ni wa kitambo kidogo wa Memba anaitwa britanicca
Je, unajua jinsi ya kujiliwaza uwapo ndani ya ndege wakati wa turbulence? Pitia hapa na uongeze ujuzi - JamiiForums
Alafu niweke hata link ya BBC wa leo
Namna gani utaweza kuondoa hofu ya kusafiri angani