Kumbe Halima Mdee ni breki ya Pinda.......................

Sawa lakini naona ana kinywa kikubwa Halima jamani!
 
ila binti we tukiwa ktk mjengo wa bunge.............
 
halima: nchi imewashinda wazeel tuachieni vijana!
gadui: ni kweli, teh teh teh
 
Nampenda sa Halima, natamani ningekuwa Pinda japo niushke mkono. Kama Halma unapita hapa Jf, sikia kilio changu. Nakupenda sana.
 

Hilo linahusiana vipi na mada hii.
 
Dhahabu zina chimbwa kwetu, sasa zivaliwe na nani, kutwa kulalamika wawekezaji wanatuibia, haya sasa hata tukivaa wenyewe bado ni shida heee tujielewe saingine.
 
Mkuchika mnafiki tu, cheki anavyocheka kinafiki nafiki. Yeye na mwenzake Pinda walijifanya kuwatetea madiwani waasi, wakagaragazwa wote. Halima anawacheka akimwabia achana na mambo ya CDM wewe !! Sisi ni watu makini, Sio kina nape.
 


muchika: pinda maliza basi na mimi nichukue kiganja.
pinda: nasikia umeme unapita kwe kwe kwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…