Hata kabla hiyo document sijaiona nshajua kuwa kanunua kupitia mgongo wa kampuni. Huwezi kujua hivi vitu kwa vile huna kampuni. Ukiwa na kampuni utayajua haya
Na kwa mujibu wa documents za tcra na brela alizopost baba levo kipindi fulani huko nyuma, Wasafi limited ni kampuni halali ya Mond (80%) na mama yake (20%)! Kwahiyo mmiliki ni yuleyule tu