Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,899
- 18,863
Miaka ya mwanzo wakati ukristo unaanza kulikuwa na vuguvugu la wayahudi na wakristo. Watu hawa walikuwa wakipinga kuwa kwenye dini zozote. Waliamini mtu anaweza kumuabudu Mungu bila kuwa kwenye dini. Watu hawa walianzia huko Alexandria Misri.
Baada ya dola ya Roma kuanguka, kanisa Katoliki likashika hatamu. Liliua sana watu waliolipinga, likaanzisha vita nyingi na kuhodhi elimu yote. Jambo hili likafanya watu wa vuguvugu hilo la freemason wafanye mambo yao kwa siri. Walipinga kanisa kuhodhi elimu na mambo mengine. Miaka ya 1700 vuguvugu hili likakua sana. Mbali na kupinga kanisa kuhodhi mambo, pia lilianza kupinga na tawala za kifalme. Hotspot ya vuguvugu hizi zilikuwa Ufaransa. Wakitaka ufalme ukome na hata wakitaka dini hizi rasmi zikome(Hasa baada ya kuona jinsi dini rasmi zilivyotenda uovu, kusababisha vita, na kumrudisha nyuma mwanadamu). Hao ndiyo walichochea na mapinduzi ya Ufaransa. Walikuwa wakihubiri Undugu, usawa na uhuru(Liberty). Freemason hawa wa Ufaransa ndiyo waliwapa Marekani zawadi ya mnara wa Libery. Ambao upo New York leo.
Napoleon Bonaparte na freemasons wenzake wengi wa Ufaransa, walifunga safari hadi Alexandria Misri mwishoni mwa miaka ya 1700. Huko lengo ni kujifunza maarifa ya Misri na sehemu ambako Freemasonry ilianza. Huko ndiko alama yao ya pyramid ilitoka.
So freemasons ni watu walioona uovu wa dini na kuukataa. Wanaamini katika uhuru, undugu na usawa. Ni watu poa sana.
Statue of liberty ni zawadi ambao freemason wa Ufaransa waliwapa wale wa US, kusherekea miaka 100 ya uhuru. Chini ni maneno waliyoandika.