As I said earlier, Mwakyembe sio source. Source ni huko site. Kwa mbwembwe alizotumia Mwakyembe kipindi kile ni sawa na bondia aliyepata fursa ya kumsukumia makonde mpinzani wake ambaye mikono yake ilifungwa kwa nyuma.
Unakoelekea ni mbali sana from the original ideas of the debate you started on post
#1 , kinachoendelea kwa sasa nadhani ni hili mradi uandike vitu somewhat gibberish pertaining to ur initial inquiry.
Hivi maswali yasingezuka kuhusu Richmond huyo Mwakyembe ata angeteuliwa kwenye kamati ya kuchunguza? Kama una amini unaweza kujifunza kutoka kwa wanyama sishangai pia kuja na statement ambazo evidence zipo site as if the site can talk.
This is why people do investigation kama kazi aliyokuwa nayo Mwakyembe mantiki ni kufanya tathmini ya casual origins; haya wewe tuambie Lowassa alifungwa vipi mikono au mpaka leo anafungwa vipi mikono asijitete hadharani. Free advice kasome kuhusu justice in philosophy uelewe dhana ya 'equality of outcome' kitu alichokifanya mwakyembe na chances alizonazo Lowassa kwenye kujitetea; as opposed to confusing what is happening with 'equality of opportunity' in your explanations.
Suala la hitimisho bado narudi pale kwamba mi sio mwanafalsafa kwa vigezo vyenu bali vya kanuni za kimazingira. Ndio maana naweza kuongea jambo na wewe ukaliwekea fremu ya hiyo falsafa yenu. Kwa misingi hiyo Bado sijaona uzito wa hoja aliyoongea Dk kwenye kipengele cha awali ulichonukuu.
Swala sio kuwa mwanafalsafa or not tunaishi kwenye age of information sidhani kama kuna kitu ukitaka kukijua kitakushinda kiasi kwamba ya wewe kukaa mezani na kujibizana na Phd holder with confidence (minus laboratory sciences). Tatizo lako ni perception ya kudhani unaweza kuongelea philosophy through your 'sense impression' and your argument to have any meaning; you dont make sense at all.
Ndio maana hata pale unaopelezwa dhana ya moral duty through his past experience ya mtu, swala la ethical dilemma and choosing based on utility bado tu unaendelea ujaona; kikubwa kwako hoja zake azijakufurahisha wewe na itimisho lake sio lako tatizo ni kwamba bado auna hoja zenye kupinga sababu zake zaidi ya kujaribu kuleta mifano ambayo aina uhusiano wowote.
Kwa waliotazama press conference ya Dk Slaa na mwendelezo wake kwenye media ni wazi kuwa alikuwa na hasira. Mwenye hasira si lazima afoke. Matamshi yake yanatosha kuthibitisha hilo.
Au inaweza kuwa sababu ya kujitokeza kwenye media ni part of challenging the veil of ignorance which has permeated the public kuhusu lowassa kwa hivyo anachofanya anawakumbusha tu as moral duty kuhusu mtu mwenyewe.
Hoja ya ushahidi ni kuwa, ni nani angempa ushahidi mpya wakati Mwakyembe alishasema kuna mambo mengine hataki kuyasema?
This is all you know' sophistry arguments.
Huoni kwa kauli hiyo Dk angepaswa kutafuta hicho kipande kilichobaki ili kukamilisha jigsaw?
Hivi umeona wapi mwanasheria wa serikari ushahidi wake unapopwaya anamlaumu mshitakiwa kwa kukosa kufanya kitu fulani ili argument yake iwe rahisi mahakani. Uwezi ku-accuse watu halafu utegemee wa kulete ushahidi ni jukumu lako wewe.
haki ya mungu you are amazing
Alimuamini vipi Mwakyembe hadi kuamua kuchukua tu alichotoa Mwakyembe? Ni kipi Dk Slaa alichoongeza baada ya kukutana na Mwakyembe hadi tuamini beyond reasonable boubt kuwa Lowassa anahusika YEYE PEKE YAKE?
Tukuulize wewe labda unaejua zaidi; mimi nimesikiliza hoja za Dr.Slaa nimezielewa sasa wewe mwenzetu kama unadhani kuna ya zaidi kwanini usimwambie huyo Lowassa aje ajitete surely na yeye atakuwa na copy ya hiyo ripoti.
Pia Mwakyembe na kamati yake walifanya sampling tu na kuja na ripoti yao. Tuamini tu waliacha mengi (as far as cyber crime is concerned)
Bora uache kama ulikuwa na mpango wa kutunga uongo hawa-jamaa wanaweza kuanza na wewe hivi hivi.