Kumbe Deep state ya kisiwa cha dhahabu ndio hao hao wapigaji

Yani watu walio kua wana fikirika kama wapo waokoe jahazi kumbe ndio hao hao super wapigaji AKA shamba la bibi .....

Over and Out
Similarly to expecting results from what you know

Kutegemea matokeo chanya kwenye jambo unalo lijua yaani unajua kabisa uchaguzi utakuwa ni wa uchafuzi unaambiwa uchaguzi utakuwa wa haki
 
Twiss kazi yao ni nini kama wanajua na kuangalia haya
 
Ule uzi wa Yoda
17/3/2021 ni kweli kweli tupu ..
Yaliyomo mule 79-89%
Yana shabihiana na code za Hp.
Mungu amtunze huyu kijana na wengine wote wenye nia safi wasiopendezwa na yanayotendwa deepstate.
 
Sija uona bado
 
Back
Top Bottom