Majhura fikiri
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 121
- 13
Alikua sio mwenyeji bali alikua mkufunzi wa jeshi! Pesa ashapewa lakini kila nikimpgia simu nipo hapa stendi anasema mala niko mtwara, mara niko nasafisha bunduki ndo mazima npaka leo!
Hahahahaha eti anasafisha bundukiAlikua sio mwenyeji bali alikua mkufunzi wa jeshi! Pesa ashapewa lakini kila nikimpgia simu nipo hapa stendi anasema mala niko mtwara, mara niko nasafisha bunduki ndo mazima npaka leo!
Pole sana
Hahahahaha eti anasafisha bunduki
Pole sana ndugu..ila usihadithie wengine utapata zambi.