Kumbe chopa sio sanduku la kura

Kumbe chopa sio sanduku la kura

Tumeshindwa lakini tumejitangaza

yani ni kama ni mfa maji.

kwani zile oparesheni za VITOWEO 9SANGARA), M4C NA CHADEMA MSINGI ZILIKUWA ZA NINI???

KUBALINI MMEPIGWA TU NA HAMUIWEZI CCM BABA YENU.

WebRep

line-dark-horizontal.png
Overall rating
line-dark-horizontal.png

line-dark-horizontal.png
 
Mtaongea mengi kwa kutumia mtaji wa mambumbu ya vijijini, miaka zaidi ya 50 wana Kalenga hawana maji safi, barabara mbovu na miundo mbinu mingine inatia aibu; kwa mtu mwenye mawazo mazuri ilibidi aangue kilio kwa ushindi wa CCM maana ukoloni mwingine umerudi tena:A S 465::flypig:
 
Wewe waache waendelee na kejeli zao, lakini kwa hakika mwisho wa CCM haupo mbali.

Hahahahahahah,,,maiti hapakwi poda!Hapa imekataliwa Chadema wala sio huyu mama maana hata alizopata 2010 wamemtandika nusu yake...its a failure and shame to Chadomo
 
Sanduku la Kura bila uboreshwaji wa Daftari la wapiga kura sio sanduku lenye heshima katika imani juu ya misingi ya kidemokrasia

mmebadilisha sababu,mimi nilitegemea mngelisema hilo kabla ya uchaguzi
 
Chopa mradi wa wajanja ule kalaghabaho

Nina shaka sana na hili, haiwezekani watu wanakomaa tu na chopa wakati imejidhihiri kuwa siyo effective.Huu bila shaka ni mradi wa mtu mkubwa ndani ya Chadema.
 
Sanduku la Kura bila uboreshwaji wa Daftari la wapiga kura sio sanduku lenye heshima katika imani juu ya misingi ya kidemokrasia

daftari likiboreshwa litakuwa mtaji kwa chama cha maendeleo ya vijana ACT
 
Sanduku la Kura bila uboreshwaji wa Daftari la wapiga kura sio sanduku lenye heshima katika imani juu ya misingi ya kidemokrasia

ben wenzio wanapiga noti mama grace leo kaingia shambani kulima mahindi wewe panda basi wenye chama wametangulia na chopa:flypig: utawakuta chalinze ukatumike vizuri.

1966794_481828895252543_324131251_n.jpg
 
Ndo ijulikane kuwa 2015 patakuwa pagumu kama mmeshindwa chaguzi zote pamoja na helicopter
 
Wewe waache waendelee na kejeli zao, lakini kwa hakika mwisho wa CCM haupo mbali.

Mimi naona mwisho wa chadema hauko mbali. Mtei hakubali mnamharibia Sacos yake. Karibu atakufukuzeni nyote.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
sasa si wamuite tu zitto kabwe wamuombe radhi yaishe?

yan wako radhi kabisa chama chao kife?wachaga bana
 
Ndo ijulikane kuwa 2015 patakuwa pagumu kama mmeshindwa chaguzi zote pamoja na helicopter

MAJIBU SAHIHI
--------------------
Jibu ni kuboreshwa kwa Daftali la wapiga kura tuu.

Karenga ni mabibi ndio yamepiga kura kalenga sasa unafikili maCCM yangefeli kweli....

Makamanda piganieni maboresho ya daftali sasa chaguzi hizi, kwa mjini kama chalinze tutashinda tu ata kwa daftali hili.

Hongera chadema kwakushinda (ingawa hakutangazwa), kama TISS wote walikuwa pale, police nao, kauli ya mkuu wa kaaya lazima kushinda, vitisho vywa green guard na CCM mkoa, na nguvu kubwa ya kutisha vijana na watu makini kutopiga kura.... Nasema tena hongereni sanaa, SASA TUELEKE CHALINZE HAKUNA KUKATA TAMAAAAAAA...

Mungu bariki Tanzania
Mungu bariki Tendega for 2015
 
frema120 kuboreshwa laweza boreshwa ila kusipatikane kitu
 
Last edited by a moderator:
sasa si wamuite tu zitto kabwe wamuombe radhi yaishe?

yan wako radhi kabisa chama chao kife?wachaga bana

Namheshimu sana anayetumia jina lake, ni mchezaji makini, mkali, mwenye kutisha n.k ndani ya WWE, but sijui kama jina hili kwako unaendana nalo....
 
tulisema hapa kuhusu kupiga kwao kambi kwenye nyumba za ibada watanzania wanawaona wao wakaona masihara,haya sasa wamevuna walichokipanda
 
Namheshimu sana anayetumia jina lake, ni mchezaji makini, mkali, mwenye kutisha n.k ndani ya WWE, but sijui kama jina hili kwako unaendana nalo....

Hivi mfano Bank ya CRDB inakudai mkopo wako wa nyumba uliokopa kwa nguvu sana,na wanasema ama sivyo watakuja kukufilisi mali zako moja kwa moja,na kampuni ya ukandarasi inayoitwa "NUA" pia wana kudai pesa zao za ujenz wa nyumba yako, wewe utaanza kulipa wapi?? baina ya CRDB na NUA wewe utaanza kulipa wapi??utalipa CRDB au utalipa (....) usinipe jibu
 
frema120 kuboreshwa laweza boreshwa ila kusipatikane kitu
No angalia ni miaka minne sasa tangu kutoboreshwa kwa daftal ni vijaana wangapi wenye ujasili wagepiga kura jana....

Tuombe heri liboreshwe utaona majibu
 
Last edited by a moderator:
ben wenzio wanapiga noti mama grace leo kaingia shambani kulima mahindi wewe panda basi wenye chama wametangulia na chopa:flypig: utawakuta chalinze ukatumike vizuri.

1966794_481828895252543_324131251_n.jpg

eti huyu ndiye alikuwa meneja wa kampeni....strategy and planing alisomea wapi?
 
Back
Top Bottom