Kumbe chopa sio sanduku la kura

Kumbe chopa sio sanduku la kura

Hivi mfano Bank ya CRDB inakudai mkopo wako wa nyumba uliokopa kwa nguvu sana,na wanasema ama sivyo watakuja kukufilisi mali zako moja kwa moja,na kampuni ya ukandarasi inayoitwa "NUA" pia wana kudai pesa zao za ujenz wa nyumba yako, wewe utaanza kulipa wapi?? baina ya CRDB na NUA wewe utaanza kulipa wapi??utalipa CRDB au utalipa (....) usinipe jibu

Hoja yangu ni uache kuwa bendera fata upepo, jitumikie wewe kwa ajiri ya familia yako...na taifa hili, acha kutumikia mtu.

Tangu zzk kuwa na matatizo yake na chama, umekuwa mtu mwenye jaziba, uongo, matusi, kupaniki na mambo mengi ya kijinga sana

Nakujua mpaka ndani, tumia vizuri jina hilo la mchezaji makini wa wwe The Big Show.
 
Tatizo badala ya kuomba kura wao walikuwa busy zaidi kusisitiza kulinda kura,sasa sijui walikuwa wanafikiri watalinda vip kura ambazo hazipo?kweli zama za Chadema kama chama mbadala zimekwisha,ni either Chadema ibadilike SASA au Chama kingine kiichukue nafasi yake.
hahaha nakumbuka pale walipoenda kisimani uombea kura. kisha wakabaki kujitangaza kulinda kura tena kwa chopa
 
Sanduku la Kura bila uboreshwaji wa Daftari la wapiga kura sio sanduku lenye heshima katika imani juu ya misingi ya kidemokrasia
Mkuu inabidi mjirekebishe namna mnavyofanya siasa zenu.

Msipodhibiti midomo michafu na lugha wanazotumia vijana wenzako mitandaoni mtakiua chama muda si mrefu

Mimi sio chadema lakini sipendi kuona upinzani unakufa namna hii.

Chadema imedharaulika sana kutokana na mienendo na lugha zinazotumiwa na wanachama bila kusahau plan za kitoto kama chopa
 
quote_icon.png
By Ben Saanane
Sanduku la Kura bila uboreshwaji wa Daftari la wapiga kura sio sanduku lenye heshima katika imani juu ya misingi ya kidemokrasia
Kwahiyo daftari likiboreshwa hao wataoingizwa upya kwenye daftari ni wapiga kura wa CHADEMA tu? kwanini usifikiri kuwa kama CCM wamepata 79 % bila daftari lililoboreshwa,likiboreshwa si watapanda juu zaidi? CHADEMA mchawi wenu hamumjui, Mchawi wenu ni UKANDA, UDINI na UBAGUZI usiosemeka! kitendo cha kuleta walinda kura kutoka Moshi na Arusha kimethibitisha hilo.
 
1966794_481828895252543_324131251_n.jpg

Mkuu inabidi waletewe na Mhe Lema, toka True North, ili kina Msigwa na wenzake waweze akili kufanya kazi.
Peke yao hawawezi kujilinda, tazama wanavyotia aibu!!!!
Na huyo mama nasikia ni msomi, kuongozwa na mtu mwenye historia ya dunia ya giza ni kujidharau.
 
Back
Top Bottom