Kumbe checking in progress ya tcu ina manufaa!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Kwa takribani wiki mbili,application yangu ya tcu ilikua imepigwa checking in progress,ila thanx God leo nimefungua account yangu ya Cas,nimekuta faculty zote 8 nimewekewa ELIGIBLE,na ikumbukwe kozi zile zile nilizokua nimewekewa not eligible ndio leo zmekua eligible,hyo ni baada ya kuclear application ya mwanzo na kufanya re-application.
 
hongera,sana ila je "not eligible" katika kozi moja kati ya nane inaweza kua moja ya kigezo cha kukosa udahili?
 
Furahi kijana, Wengine bado wanalia na checking in progress......
 
Hongera sana kijana,hope utabahatika kuchaguliwa kwenye moja ya kozi hzo ulizowekewa eligible...good job,keep it up!
 
Ivi inakuaje kozi 4 eligible alafu kozi 4 nyingine check in progress? Ili tatizo ni langu tu au kunawengine na nitalisuluishaje?
 
Ivi inakuaje kozi 4 eligible alafu kozi 4 nyingine check in progress? Ili tatizo ni langu tu au kunawengine na nitalisuluishaje?

ingia profile - view selection status - click here to check for eligibility utapata majibu mazuri kama ulifanya uchaguzi wa kozi stahiki. NB saver yao iko low hivyo inachukua muda mrefu sana hadi upate feedback - nimejaribu asubuhi sana nikafanikiwa kwa watu 3. Jaribu badae usiku pengine
 
hongera,sana ila je "not eligible" katika kozi moja kati ya nane inaweza kua moja ya kigezo cha kukosa udahili?

hakiwezi kuwa ni kigezo ila utakuwa umepunguza nafasi moja kati ya nane ambazo ungeweza kupimwa for selection - nadhani.
 
kwa nin mkimbiane bana?

Wengi tulikua tukiomba ushauri pale tulipo kwama katika michakato ya uombaji wa vyuo na mikopo pia, kwahiyo pale tutakapo pata admission hatuna budi kuleta shukrani kwa msaada tulio pata Hapa JF. binafsi nashukuru sana kwa mchango wa namna moja ama nyingine mpaka nilipo fika hapa. THANKS GUYS.
LONG LIVE JF
 
we una eligible ngapi?
 
Back
Top Bottom