Kumbe chanzo Cha maji duniani ndio hivi.

Kumbe chanzo Cha maji duniani ndio hivi.

Huu ni utafiti wako au umecopy sehemu?
Hujaweka link ya ulipocopy mkuu nasi tukajigunze mengi.
Kama ni utafiti wako umefanyia kwenye miamba ipi nasi tukajionee namna jasho la miamba linavogeuka maji.
Maswali:
1.kama maji yanatokana na miamba sasa maji ya bahari yanapungui wala kuongezeka na ingali miamba bado ipo na itakuwa bado inatoa jasho?
2.mvua inatokaje juu nawakati umesema maji hutokana na jasho la miamba ya aridhini?
 
Yale maji ya bahari ndio hayo maji ya maziwa mito fresh water Kwa ujumla. Kwasababu hadi yafike ziwani au mitoni yanapitia filtreshen ya hatarii hadi yanakuwa fresh Chini kwa chini tens of thousands of kilometres. Halafu tena tunaona yanarudi baharini. Kama ziwa victoria linarudigi baharini kupitia Nile. It's a cycle.
 
20241010_223337.jpg
 
Hakika tafiti hazipingwi..

Na ukute Binadamu tukifa ndo tunageuka hiyo miamba..
Binadamu tukifa tunageuka mafuta na madini. Na hi process si ya kitoto maamae inachukua billions of years. Haya madini na mafuta na gesi salsa hivi ni ya watu waliokufa billions of years ago. Na Sisi sasa hivi tukifa process ya kuwa mafuta na madini itakuwa billions of years after. Ila tafiti zinaonesha jua limebakiza 5 billion kuexist.
 
Mkuu, mbona unatumia tanakari za semi na lugha ya mficho katika kuwasilisha jambo la siriazi kama hili? Kwani ungesema ni matokeo ya mizagamuano kati ya miamba ya lusaka mods wangefuta uzi?
 
Back
Top Bottom