Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,776
- 2,389
Rais wa nchi anapaswa kuongea kwa lugha ya kidiplomasia na siyo lugha za mitaani! Kwa lugha aliyotumia Rais hatumtofautishi na FUTUHI!Nimeliona hili ndani ya gaezti la Majira leo 8/10/2013.
Na habari yenyewe inasema
"JK AMUOMBE RADHI LISSU-MBOWE
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) , kimemtaka Rais Jakaya Kikwete amuombe radhi Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, Bw. Tundu Lissu.
Mwenyekiti wa Chama hicho Bw Freeman Mbowe, aliyasema hayao Dar es salaamjana wakati akifungua mkutano wa siku nne uliohusisha wataalamu wa chama hicho kutoka kanda zote nchini.
Alisema CHADEMA kimesikitishwa na hatua ya Rais Kikwete kumshambulia Bw. Lissu kwa maneno akidai hotuba yake ambayo aliisoma bungeni Mjini Dodoma katika bunge lililopita ilijaa uzushi,uongo,unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu.
Bw Mbowe alisema , hotuba hiyo haikuwa ya Bw Lissu bali ilitolewa na Kambi rasmi ya Upinzani bungeni....."
My Take:
Mbowe atilie maanani kuwa inaelekea amesikitishwa na jinsi ujumbe ulivyofikishwa na Mh JK, lakini hajapinga kile kilichondani ya ujumbe wenyewe.
Pili, lugha zisizo na staha zimekuwa zikivumiliwa sana na viongozi wa CHADEMA, hapa majuzi tu ni Mh. Lissu huyu huyu alisikika akisema miCCM,maCCM, leo yamempata makubwa!
Inakuwaje tena kulalama wakati mmechagua kuwa hiyo ndo staili ya kufikisha ujumbe?
Rais wa nchi anapaswa kuongea kwa lugha ya kidiplomasia na siyo lugha za mitaani! Kwa lugha aliyotumia Rais hatumtofautishi na FUTUHI!
Cheki unavyohangaika na lisu wako kutwa kumtetea kwa talifa yako lisu ni bidhaa chakavu hanunuliki ni sawa na nyanya mbovu ambayo sokoni haikaa zaidi ya siku moja.Rais wa nchi anapaswa kuongea kwa lugha ya kidiplomasia na siyo lugha za mitaani! Kwa lugha aliyotumia Rais hatumtofautishi na FUTUHI!
Mh. JK alikuwa anajikumbushia ile lugha aliyokuwa anaitumia alipokuwa anamtembelea Salma pale Chuo cha Elimu Nachingwea!Cheki unavyohangaika na lisu wako kutwa kumtetea kwa talifa yako lisu ni bidhaa chakavu hanunuliki ni sawa na nyanya mbovu ambayo sokoni haikaa zaidi ya siku moja.
Hata hivyo rais alimheshimu sana huyu bana mdogo;
Alitakiwa akumbushwe maadili kidogo.
Haha...hajapinga kwa vile hadhani hata km JK naye alikuw ana shid ana ujumbe..Jk alikuwa na na shida na Lissu ndio maana hata ujumbe inaelekea hakuusoma..MBowe kamkumbusha kuwa ujumbe ni wa Chama....na hivyo JK arudi akausome vyema ili aje kiuliza chama.Nimeliona hili ndani ya gaezti la Majira leo 8/10/2013.
Na habari yenyewe inasema
"JK AMUOMBE RADHI LISSU-MBOWE
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) , kimemtaka Rais Jakaya Kikwete amuombe radhi Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, Bw. Tundu Lissu.
Mwenyekiti wa Chama hicho Bw Freeman Mbowe, aliyasema hayao Dar es salaamjana wakati akifungua mkutano wa siku nne uliohusisha wataalamu wa chama hicho kutoka kanda zote nchini.
Alisema CHADEMA kimesikitishwa na hatua ya Rais Kikwete kumshambulia Bw. Lissu kwa maneno akidai hotuba yake ambayo aliisoma bungeni Mjini Dodoma katika bunge lililopita ilijaa uzushi,uongo,unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu.
Bw Mbowe alisema , hotuba hiyo haikuwa ya Bw Lissu bali ilitolewa na Kambi rasmi ya Upinzani bungeni....."
My Take:
Mbowe atilie maanani kuwa inaelekea amesikitishwa na jinsi ujumbe ulivyofikishwa na Mh JK, lakini hajapinga kile kilichondani ya ujumbe wenyewe.
Pili, lugha zisizo na staha zimekuwa zikivumiliwa sana na viongozi wa CHADEMA, hapa majuzi tu ni Mh. Lissu huyu huyu alisikika akisema miCCM,maCCM, leo yamempata makubwa!
Inakuwaje tena kulalama wakati mmechagua kuwa hiyo ndo staili ya kufikisha ujumbe?
lugha unayo tumia bar, ni tofauti unayo ongea nyumbani na familia yako sasa, sasa kwa rais je? na hata hivyo rais kajikita kusutana na lisu na kuasha maswala ya muhimu zaidi na kwa akili za kinafiki unasifia kitu ambacho unajua si sahihi!... inabidi katika mambo ya kitaifa tuangalie mambo kwa upana zaidi. ushauri tu!Hata hivyo rais alimheshimu sana huyu bana mdogo;
Alitakiwa akumbushwe maadili kidogo.
Haha...hajapinga kwa vile hadhani hata km JK naye alikuw ana shid ana ujumbe..Jk alikuwa na na shida na Lissu ndio maana hata ujumbe inaelekea hakuusoma..MBowe kamkumbusha kuwa ujumbe ni wa Chama....na hivyo JK arudi akausome vyema ili aje kiuliza chama.Nimeliona hili ndani ya gaezti la Majira leo 8/10/2013.
Na habari yenyewe inasema
"JK AMUOMBE RADHI LISSU-MBOWE
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) , kimemtaka Rais Jakaya Kikwete amuombe radhi Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, Bw. Tundu Lissu.
Mwenyekiti wa Chama hicho Bw Freeman Mbowe, aliyasema hayao Dar es salaamjana wakati akifungua mkutano wa siku nne uliohusisha wataalamu wa chama hicho kutoka kanda zote nchini.
Alisema CHADEMA kimesikitishwa na hatua ya Rais Kikwete kumshambulia Bw. Lissu kwa maneno akidai hotuba yake ambayo aliisoma bungeni Mjini Dodoma katika bunge lililopita ilijaa uzushi,uongo,unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu.
Bw Mbowe alisema , hotuba hiyo haikuwa ya Bw Lissu bali ilitolewa na Kambi rasmi ya Upinzani bungeni....."
My Take:
Mbowe atilie maanani kuwa inaelekea amesikitishwa na jinsi ujumbe ulivyofikishwa na Mh JK, lakini hajapinga kile kilichondani ya ujumbe wenyewe.
Pili, lugha zisizo na staha zimekuwa zikivumiliwa sana na viongozi wa CHADEMA, hapa majuzi tu ni Mh. Lissu huyu huyu alisikika akisema miCCM,maCCM, leo yamempata makubwa!
Inakuwaje tena kulalama wakati mmechagua kuwa hiyo ndo staili ya kufikisha ujumbe?
Hili sakata limenikumbusha msemo wa muosha huoshwa.lugha unayo tumia bar, ni tofauti unayo ongea nyumbani na familia yako sasa, sasa kwa rais je? na hata hivyo rais kajikita kusutana na lisu na kuasha maswala ya muhimu zaidi na kwa akili za kinafiki unasifia kitu ambacho unajua si sahihi!... inabidi katika mambo ya kitaifa tuangalie mambo kwa upana zaidi. ushauri tu!
nimeliona hili ndani ya gaezti la majira leo 8/10/2013.
Na habari yenyewe inasema
"jk amuombe radhi lissu-mbowe
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema ) , kimemtaka rais jakaya kikwete amuombe radhi mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, bw. Tundu lissu.
Mwenyekiti wa chama hicho bw freeman mbowe, aliyasema hayao dar es salaamjana wakati akifungua mkutano wa siku nne uliohusisha wataalamu wa chama hicho kutoka kanda zote nchini.
Alisema chadema kimesikitishwa na hatua ya rais kikwete kumshambulia bw. Lissu kwa maneno akidai hotuba yake ambayo aliisoma bungeni mjini dodoma katika bunge lililopita ilijaa uzushi,uongo,unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu.
bw mbowe alisema , hotuba hiyo haikuwa ya bw lissu bali ilitolewa na kambi rasmi ya upinzani bungeni....."
tobo loso ni mteja wa mtaa wa mirembe
Join Date 24th September 2013 Last Activity Today 11:38 Avatar
Unapobanwa sana ni lazima utafute pa kutokea. Hilo ni jambo la kawaida kabisa.