siamini kama hii kazi ya laana unayofanya haihusishi B7 lakini kama ulikuwa unaifanya kwakufuata mkumbo fika lumumba pale ofisi ndogo ya makao makuu jitambulishe kuwahuwa unaandika threads kwenye mitandao ya kijamii najana yaani leo umepost cdm haijulikani vijijini lazima utapata B7yakohizi propaganda kwamba tunapewa elfu saba acheni mimi sijawahi kupewa niambieni wapi wanatoa buku saba niende
siamini kama hii kazi ya laana unayofanya haihusishi B7 lakini kama ulikuwa unaifanya kwakufuata mkumbo fika lumumba pale ofisi ndogo ya makao makuu jitambulishe kuwahuwa unaandika threads kwenye mitandao ya kijamii najana yaani leo umepost cdm haijulikani vijijini lazima utapata B7yako
uko chumba namba ngapi?mimi nipo hapa lumumba sijawahi kupata buku saba.
haijalishi, wanajua ndo chama dume.
uko chumba namba ngapi?
haidhuru nitajie ofisi uliyoko ili nikusaidie kupata haki yako kwa kazi uliyofanya.hapa tuna ofisi hatuna chumba kama huko ufipa kwa wanywa gongo
haidhuru nitajie ofisi uliyoko ili nikusaidie kupata haki yako kwa kazi uliyofanya.
ww mwizi tu ndio mnaowasababishia wtz matatizo kwa mipango yenu ya wizi wa fedha na kura kila wanapotaka kuwatoa mnabadili matokeo kuna siku itafika watasema liwalo na liwe.wewe ni TUMBILI
Chadema vijijini ni kama kupe kwa ng'ombe akionekana anapuluziwa DDT...!
teh teh, haa haa...Chadema vijijini ni kama kupe kwa ng'ombe akionekana anapuluziwa DDT...!
huo ndo ukweli mkuu, hawajatoa elimu ya kutosha maeneo ya vijijini kabisa!kuna umuhimu wa chadema kufanya ziara kwenda vijinini huku hawafahamiki bado
huo ndo ukweli mkuu, hawajatoa elimu ya kutosha maeneo ya vijijini kabisa!
ww mwizi tu ndio mnaowasababishia wtz matatizo kwa mipango yenu ya wizi wa fedha na kura kila wanapotaka kuwatoa mnabadili matokeo kuna siku itafika watasema liwalo na liwe.
Jimbo la Temeke liko mjini DSM