mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
- Thread starter
-
- #61
Kwa nini mnawabagua wachaga na wapemba?
mimi ni mchaga nitawabaguaje ndugu zangu tena wa damu. kuhusu wapemba mambo yao hayanihusu mimi mtanganyika tena wapemba ni waswahili
we nyau ni mkabila mkubwa..wewe ni kubwa jinga
mimi ni mchaga nitawabaguaje ndugu zangu tena wa damu. kuhusu wapemba mambo yao hayanihusu mimi mtanganyika tena wapemba ni waswahili
mkuu umefanya utafiti juu ya hizo kanda? Hakuna kinachofanyika kwenye kanda nyingi, mfano mikoa ya mtwara,lindi hata ruvuma! Pia suala la viongozi wa wilaya na mikoa kutolipwa ni tatizo! Ningependa sana chadema wachukue nchi, lakini kwa mtindo huu ni ndoto za mchana..MBONA HATUA HIZO ZIMECHUKULIWA KITAMBO SANA MKUU ? MBONA hauko AWARE , NINI MAANA YA KUANZISHA KANDA AU CDM NI MSINGI ? LAWAMA BILA UTAFITI HUGEUKA KUWA MAJUNGU TU .
mkuu chadema wakijenga mazingira ya kutotaka kukosolewa mnatutisha, je mkiingia madarakani si mtatufunga midomo? Hamtakuwa madikteta? Penye matatizo ndani ya chadema lazima tuseme, kwa nini chadema wasiajiri makatibu wakuu wa chama mikoani? Kama umeamua kuniita ACT, we endelea tu, lakini ukweli lazima usemwe!Wewe ndio mwenezi wa Act Tanganyika?, Adui wa watu ni yule anatetea haki za raia bali mtu ya watu ni wale wanaootetea mafisadi ili kupata mradi wao
teh teh, hata kama chadema wakachukua majiji na miji yote, bila vijijini kwenda ikulu ni ndoto!chadema ni chama cha kisasa bwana,hatuwezi kuhangaika na washamba wa vijijini, mjini kunatosha kutupeleka ikulu
jifarijini kwamba CCM wanajidanganya, ndo mnakufa hivyo msipobadilika.
Wewe una amnesia nini,kwa nini mmemteua Salm Ahmed Salm kwenye Tume ya mabadiliko ya katiba huku si raia wa Tanzania si umesema ushahidi mnao?
tatizo chadema hawajajipenyeza vijijini vya kutosha na kutoa elimu ya uraia! Hilo ni kosa kwa chadema!Vijijini ukiwatajia CHADEMA wanajua unataka kuwaletea VITA
mkuu, kama unaanza kukana watu kisa wamehoji ukweli, hii ni hatari, je wakishika nchi itakuwaje? Chadema waende vijijini wakajenge chama!huyo ni bavicha mwenzenu mkuu mbona unamkana tena
MTWARA NA LINDI NI TATIZO , LAKINI kama ruvuma nako ni hivyo huo utakuwa uzembe , tunakushukuru na umesikika , bila shaka wakuu watalifanyia kazi jambo hili , CC - MOHAMED MTOI .mkuu umefanya utafiti juu ya hizo kanda? Hakuna kinachofanyika kwenye kanda nyingi, mfano mikoa ya mtwara,lindi hata ruvuma! Pia suala la viongozi wa wilaya na mikoa kutolipwa ni tatizo! Ningependa sana chadema wachukue nchi, lakini kwa mtindo huu ni ndoto za mchana..
nakushukuru mkuu, huo ndo ukweli!hao washamba wa vijijini ndipo kuna asilimia kubwa ya kura na ndio wapiga kura. chadema wanatakiwa kuelewa hili
tuwekee huo ushahidi hapa mkuu.!hao wote ushaidi tunao kwamba sio raia wa tanzania walijichomeka ndani ya chama kama mamluki
Busale, Kasumulu, Ngana, Matema, Itope, Katumbasongwe, Kajunjumele kote huko ni kijijini sana watu wanaishi kwenye nyumba za nyasi lakini wanaongozwa na CHADEMA KUANZIA DIWANI MPAKA WENYEVITI WA VITONGOJI. Na Busale toka nchi inapata uhuru hawajawahi kuziona bomba za maji ingawa mto mkubwa wa Kiwira unapita katika vijiji hivyo.
mkuu ccm inaishi kwa ghiliba na kutegemea dola! Bila ujanjaujanja hakuna ccm!Mbona kama ushahidi mnao ulete hapa jf na pia mbona jana salmu Ahmed Salm mlimteua kuwa mjumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba? bado mnaendeleza na kuonesha kuwa chama hiki ccm si makini ndio maana mko tayari wazungu watuibie raslimali zetu?
siwezi kataa mkuu, lakini ni sehemu ndogo sana, tanzania kuna vijiji vingi xana! Vijiji vingi chadema hawajafika bado!Busale, Kasumulu, Ngana, Matema, Itope, Katumbasongwe, Kajunjumele kote huko ni kijijini sana watu wanaishi kwenye nyumba za nyasi lakini wanaongozwa na CHADEMA KUANZIA DIWANI MPAKA WENYEVITI WA VITONGOJI. Na Busale toka nchi inapata uhuru hawajawahi kuziona bomba za maji ingawa mto mkubwa wa Kiwira unapita katika vijiji hivyo.
kama watafanyia kazi nitashukuru mkuu, ikulu bila kufanya mikutano vijijini itakuwa ni ndoto!MTWARA NA LINDI NI TATIZO , LAKINI kama ruvuma nako ni hivyo huo utakuwa uzembe , tunakushukuru na umesikika , bila shaka wakuu watalifanyia kazi jambo hili , CC - MOHAMED MTOI .
Wakuu nawasalimu,
Kwa mawazo yangu nilivyokiona CHADEMA kwa nje nikajua ni chama chenye umaarufu mijini na pia vijinini kumbe sio kweli.
Nimekuwa katika ziara za chama changu CCM katika maeneo ya mikoa mbalimbali na kuja kugundua kwamba CHADEMA hakifahamiki maeneo ya vijijini kama vile mjini.
Mosi katika mikoa hiyo kama Iringa Vijijini hawajui kuna CHADEMA,Kilimanjaro Vijiji vya Kolyambua,Kilasanioni na vijiji vingine hawajui CHADEMA zaidi ya TLP na CCM.
Vijiji vingi vya mikoa tuliopita kama Korogwe vijijini,Songea vijijini,Manyara vijijini,Singida vijijini huko ni CCM tu inafahamika hakuna CHADEMA.
Ombi langu kwa CHADEMA wajipange kwanza kueneza chama chao vijijini kabla ya kuwaza kushika dola kwani ni ngumu sana kama ngamia kupita tundu la sindano.
Nawasilisha
kama watafanyia kazi nitashukuru mkuu, ikulu bila kufanya mikutano vijijini itakuwa ni ndoto!