Tatizo la Chadema wameshalewa sifa, hawana habari na vijijini, huwezi kuchukua nchi kwa kufanya mikutano mijini tu, chadema bado hawajajipanga kuchukua dola, labda miaka 15 au 20 kuanzia sasa mbeleni, ruzuku hazitumiki kwa lengo la kukisambaza chama, malipo au posho huishia makao makuu tu, wameiga uleule mfumo wa ccm ingawa wao angalau wanawalipa makatibu wakuu wa wilaya, lakini mabalozi wa nyumba kumi hawana chao! Chadema ilipaswa wafanye mikutano mingi vijijini!
HIVI HIZI POST ZAKO huwa wazazi WAKO WANAZIONA ?
Wewe ndio mwenezi wa Act Tanganyika?, Adui wa watu ni yule anatetea haki za raia bali mtu ya watu ni wale wanaootetea mafisadi ili kupata mradi wao
Vijijini ukiwatajia CHADEMA wanajua unataka kuwaletea VITA
Nani amekuweka kuwa mchambuzi wa posts zangu?
chadema ni chama cha kisasa bwana,hatuwezi kuhangaika na washamba wa vijijini, mjini kunatosha kutupeleka ikulu
hao washamba wa vijijini ndipo kuna asilimia kubwa ya kura na ndio wapiga kura. chadema wanatakiwa kuelewa hili
Mnawaita hivyo kwa kuwa mmewafanya duni kwa sera za wizi wa mazao yao
huyo ni bavicha mwenzenu mkuu mbona unamkana tena
Dhambi ya ubaguzi inakula hadi vitukuu,mtabaki na Nape na mwiguruHivi kabla ya kupost hapa pumba zako unakuwa umeshatumia vilevi. unaandika ujinga tu hamia facebook
Tupe jibu hapa,ni sababu zipi salm Ahmed salmu,jenerali Ulimwengu,Dada Castico,Bashe ,mliwaita di raia wa tanzania wakati castico alikuwa katibu mwenezi zanzibar,jenerali ulimwengu Mkuu wa mkoa,Bashe mjumbe wa Halmashauri kuu Taifa,na Salm Ahned salmu Rais wa znz,waziri Mkuu,Katibu mkuu wa OAU,mjumbe wa secretarieti ya Usalama UN na mjumbe wa CC wa ccm?,
nini kiliwafanya mwape madaraka hayo wakati si raia?
Nani amekuweka kuwa mchambuzi wa posts zangu?
Dhambi ya ubaguzi inakula hadi vitukuu,mtabaki na Nape na mwiguru
hao wote ushaidi tunao kwamba sio raia wa tanzania walijichomeka ndani ya chama kama mamluki
Kwa nini mnawabagua wachaga na wapemba?taja hata neno moja la ubaguzi nililotaja hapa
Mbona kama ushahidi mnao ulete hapa jf na pia mbona jana salmu Ahmed Salm mlimteua kuwa mjumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba? bado mnaendeleza na kuonesha kuwa chama hiki ccm si makini ndio maana mko tayari wazungu watuibie raslimali zetu?
We we gamba a cha propaganda za kitoto,mtajidanganya wenyewe kwa wenyewe magamba,chadema inazidi kuchanja mbuga.
hao wote ushaidi tunao kwamba sio raia wa tanzania walijichomeka ndani ya chama kama mamluki