mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
- Thread starter
-
- #21
Critical analysis inaniongoza kusema kuwa CDM mpaka ilipofikia imejitahidi sana taking into consideration mabavu ya CCM kwa kutumia vyombo vya ulinzi, Usalama, pesa za umma and other public resources kuizima. CCM has been in the monopoly of TZ politics for 50 years with all public resources at their disposal!
Kwa akili hizi ndio maana nchi haina maendeleoWakuu nawasalimu,
Kwa mawazo yangu nilivyokiona CHADEMA kwa nje nikajua ni chama chenye umaarufu mijini na pia vijinini kumbe sio kweli.
Nimekuwa katika ziara za chama changu CCM katika maeneo ya mikoa mbalimbali na kuja kugundua kwamba CHADEMA hakifahamiki maeneo ya vijijini kama vile mjini.
Mosi katika mikoa hiyo kama Iringa Vijijini hawajui kuna CHADEMA,Kilimanjaro Vijiji vya Kolyambua,Kilasanioni na vijiji vingine hawajui CHADEMA zaidi ya TLP na CCM.
Vijiji vingi vya mikoa tuliopita kama Korogwe vijijini,Songea vijijini,Manyara vijijini,Singida vijijini huko ni CCM tu inafahamika hakuna CHADEMA.
Ombi langu kwa CHADEMA wajipange kwanza kueneza chama chao vijijini kabla ya kuwaza kushika dola kwani ni ngumu sana kama ngamia kupita tundu la sindano.
Nawasilisha
kwa akili hizi ndio maana nchi haina maendeleo
Vijijini ndiko CCM imejaza wajinga ambacho ndicho chakula chao.CHADEMA inafanya kazi ya kuwaondolea ujinga kwanza wakishajitambua CHADEMA itatamalaki kote huko.
mbonyi mekuu, hivyo vijiji vya KYOLAMBUA,KILASANIONI WANAIJUA TLP YA AUGUSTINE MREMA TU
jifarijini kwamba CCM wanajidanganya, ndo mnakufa hivyo msipobadilika.
Wachaga ndio wanakwamisha maendeleo ya CHADEMA.
Wachaga ndio wanakwamisha maendeleo ya CHADEMA.
Una wivu nao,wakati wakoloni wanafika hapa tanganyika waliwekeza elimu kule,sasa wameikataa ccm ,Wachaga ndio wanakwamisha maendeleo ya CHADEMA.
Jifunze propaganda,nikufahamishe tu
Mkoa wa simiyu ,una vijiji vya mwanhuzi,Dutwa,lukalangwa,mwakibuga,mahaha,kabila,somanda kote kuna ofisi za chadema na viongozi.
Mkoa wa singida nenda iramba,manyoni ,sherui,misigiri,igugunwa chadema
Mkoa wa morogoro kilosa vijijini,mpwapwa,kilombero,na matombo chadema
Bukoba,nshansha,mleba vijijini,karagwe milimani chadema
Songea mgazini,namtumbo,hanga,chipole,na itui chadema
Mwanza
Kakola,nyanchenche,kizugwangoma,ukerewe,miziro,taro,salama,isolo na nyangwale chadema
Njoo iringa kihesa,tosamaganga,mfindi kule porini ,ilembula,lupembe,ni chadema nimekutaajia baadhi ,na maeneo hayo kuna wenyeviti wa chadema ,nenda mpaka liuli mbinga ukapokelewe na mwanachadema
Kaanzishe thread nyingine mshamba wa siasa, umevaa miwani ya mbao( filikunjombe)
Wewe naona umekunywa juice a.k.a viroba muda huu
wewe umeandika mikoa ile ile ya kila siku mnayopita nendeni mikoa mipya wewe tahira
Wachaga ndio wanakwamisha maendeleo ya CHADEMA.
Walianza kuwaita wapemba waarabu,wakamsema salm Ahmed Salm si mtanzania,wakaenda zanzibar wakasema Mh.Castico ni mnyarwanda,hawakuishia hapo,wakamwita jenerali Ulimwengu Mganda,Bashe wa nzega wakamwita msomali hawakuishia hapowachaga wanaingiaje hapa wewe ngedere. acha tabia ya ubaguzi na laana yake imekukaa
Tatizo la Chadema wameshalewa sifa, hawana habari na vijijini, huwezi kuchukua nchi kwa kufanya mikutano mijini tu, chadema bado hawajajipanga kuchukua dola, labda miaka 15 au 20 kuanzia sasa mbeleni, ruzuku hazitumiki kwa lengo la kukisambaza chama, malipo au posho huishia makao makuu tu, wameiga uleule mfumo wa ccm ingawa wao angalau wanawalipa makatibu wakuu wa wilaya, lakini mabalozi wa nyumba kumi hawana chao! Chadema ilipaswa wafanye mikutano mingi vijijini!