mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
Wakuu nawasalimu,
Kwa mawazo yangu nilivyokiona CHADEMA kwa nje nikajua ni chama chenye umaarufu mijini na pia vijinini kumbe sio kweli.
Nimekuwa katika ziara za chama changu CCM katika maeneo ya mikoa mbalimbali na kuja kugundua kwamba CHADEMA hakifahamiki maeneo ya vijijini kama vile mjini.
Mosi katika mikoa hiyo kama Iringa Vijijini hawajui kuna CHADEMA,Kilimanjaro Vijiji vya Kolyambua,Kilasanioni na vijiji vingine hawajui CHADEMA zaidi ya TLP na CCM.
Vijiji vingi vya mikoa tuliopita kama Korogwe vijijini,Songea vijijini,Manyara vijijini,Singida vijijini huko ni CCM tu inafahamika hakuna CHADEMA.
Ombi langu kwa CHADEMA wajipange kwanza kueneza chama chao vijijini kabla ya kuwaza kushika dola kwani ni ngumu sana kama ngamia kupita tundu la sindano.
Nawasilisha