Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,860
- 50,644
Hakuna uchaguzi uliofanyika TanzaniaPamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana.
Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura, nimependa staili yao ya kuhesabu kura hadharani mbele ya wapiga kura kadhaa.
Mambo ya kuhesabu kura gizani ni ya kizamani Sana yanayopendwa na CCM.
Hakika mkuuHuku hatukuwa na uchaguzi bali tulikuwa na uchafuzi kwa gharama ya Mtanganyika
Hiyo ni mahsusi kwa vituo kadhaa kwa ajili ya maonyesho tuu. Then kura zinapinduliwa kama kawa.Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana.
Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura, nimependa staili yao ya kuhesabu kura hadharani mbele ya wapiga kura kadhaa.
Mambo ya kuhesabu kura gizani ni ya kizamani Sana yanayopendwa na CCM.
Hilo la kupindua kura ni la mbele ya safari na limeshatabiriwa.Hiyo ni mahsusi kwa vituo kadhaa kwa ajili ya maonyesho tuu. Then kura zinapinduliwa kama kawa.
Lile lizee pamoja na udikteta linajua kuuma na kupuliza, ndo maana limekaa madarakani karibu miongo minneHakuna uchaguzi uliofanyika Tanzania
Mseveni karuhusu boby wine kufanya campaign mwanzo mwisho
Mkuu Museveni ni mpenda madaraka sana lakini angalau ana akili kichwani na kubakia kwake kwenye madaraka anakufanya kwa akili. Museveni anafanya kama ilivyokuwa CCM enzi za Nyerere au Mkapa na hata Kikwete. Magufuli ndiye aliyepindua meza na huyu muuaji yeye alitumia makalio zaidi...Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana.
Nimefuatalia vituo kadhaa vya kupigia na kuhesabu kura, nimependa staili yao ya kuhesabu kura hadharani mbele ya wapiga kura kadhaa.
Mambo ya kuhesabu kura gizani ni ya kizamani Sana yanayopendwa na CCM.
Nakubali kabisa. N kama ile CCM ya zamani kabla Magufuli hajapindua meza.Lile lizee pamoja na udikteta linajua kuuma na kupuliza, ndo maana limekaa madarakani karibu miongo minne
Hilo tu ndio nilimuona mseven angalau anakaubinadamu..Hakuna uchaguzi uliofanyika Tanzania
Mseveni karuhusu boby wine kufanya campaign mwanzo mwisho
Hatukuwa na reforms kwa hiyo hakukiwa na electionsHuku hatukuwa na uchaguzi bali tulikuwa na uchafuzi kwa gharama ya Mtanganyika
Kuna jambo CCM haliko sawa!Hatukuwa na reforms kwa hiyo hakukiwa na elections
Msiongee sana. Mpaka uwe ground ndiyo unajua kinachofanyika huko.Pamoja na mauzauza yote yanayofanywa na Yoweri Museveni kwenye uchaguzi unaoendelea huko Uganda, angalau kuna mambo anayafanya kiungwana.