Wewe kuiona sio sababu ya mada kusitishwa, ilikuwa bora kuweka link ya hiyo thread ili ambao hawakuiona waipitieHabari ya zamani sana na ilishaletwa humu ndani
Na kazi nzuri yenye kutia moyo ni posho na malupulupuHao jamaa wapo vizuri sana kielimu!!...Mtoto wako kutopata ZERO uhakika!!!..
hayuko updated.Habari ya zamani sana na ilishaletwa humu ndani
We kasinde na wewe kwa upekenyuzi...habari za TBR but??Habari zenyuu,
Nimeikuta hii picha mahali..
Nikabaki nashangaa, hivi kumbe kuwa best student ni dili eehh.... nilichojiuliza tuu huyu student ataweza kuhimili gharama za kuendesha hii gari?
Halafu hapo wameonesha best student kuanzia nafasi ya kwanza hadi ya 10...(top ten students) sasa huyu wa IST sijui ndo wa kwanza au wa kumi au wa tano.... au hii ni ya wanafunzi wote kumi?
Na kama huyu ndo wa kumi je wa kwanza alipewa zawadi gani?
View attachment 720581
Habari na picha...
Kasinde.